We hujui siasa ya Nchi hii, wiki jana tulikuwa na furaha zaidi, Maana tulijuwa mlichokuwa mnakitaka, ndo hamtaweza kukipata tena mrudi tuu shimoni mkafanye udalali wa vitunguu.
Hahahaa......Kayumba poleee.
Sio kosa lako unatumia masaburi kufikiri
tapika vyote, mpaka nyongo!
Wewe unayetosha umeandika hoja gani ya Maana hapa Zaidi yakumwaga Makaririsho?Zungumza hoja vinginevyo hutoshi Jf
Kwani PCCB wao wanasemaje? Katika uchunguzi wao hawakuona,?
Lilivyo pumbavu likadhani linaweza kununua uenyekiti wa CDM kwa vijisenti vyalo vya wizi!Kumbe cdm walikua sahìhi kabisa kumfukuza huyu jamaa.
sema kingine.Zungumza hoja vinginevyo hutoshi Jf
Acha ujinga somatena Mwanzo na mwisho ulichoandika, hujielewi?.
Wasi wasi wangu ni kwa nini Zito hakufatilia mgao wa Stanbic Bank wa viroba na sandarusi??
Akakomaa na migao ya Ruge, alimlinda nani??
Kama ni mgao alipata wa viroba vilivyo pelekwa Ikulu, ndio maana huko hakugusa!!
Unaweza kumtetea mtu kwa kosa moja lakini usimtetee kwa kosa jingine. Kwa hili hata mie nashinikiza Zitto achukuliwe hatua kali. Kwa nini yeye na si DeoFilikunjombe?
Kwani ZITTO alifukuzwa CHADEMA kwa sababu ya UFISADI? Mimi sina itikadi yoyote ya Chama pale anapoonewa mtu namtetea na pale anavurunda nakuwa kinyume naye, siyo nyie wafia vyama.
Mkuu, pole sana kama ulikwazwa kwa kiasi hicho. Kwa sasa imethibitika kuwa Zitto ni mwizi. Anapaswa kushughulikiwa ipasavyo