Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Simpendi kabisa zitto hasa kwa unafiki wake. Lakini nachukia sn km takukuru wanachunguza mil 10 wkt kuna mabilioni hawatuambii yanachunguzwa na nani na lini. Mbona hawajasema wanachunguza lini maafisa wa ikulu waliomchukulia kikwete mgao wa escrow???? Au wale maafisa waliohuku mgao kwa niaba y pinda mpaka akapata nguvu za utetea wizi mkubwa namna ile. Kwa nini hawamchunguz tibaijuka ili aseme kwa uwazi kati ya zile 1.2bil alimgawia pinda kikwete naviongozi wengine waandamizi kiasi gani?? Au kwa nn hawatuambii wanachunguza lini pesa zile zilizobebwa kwa lumbesa na Rambo pale stanbic?
BINAFSI SIKUBALIANI NAUHUNI ULIOPITILIZ NAMNA HII.
BINAFSI SIKUBALIANI NAUHUNI ULIOPITILIZ NAMNA HII.