Zitto: Hata Balimi tutapata 3 tu na sio 7

Zitto: Hata Balimi tutapata 3 tu na sio 7

Nasikia noah ndo hatupati, jamaa wanatugawia kila mmoja tyubu ya baiskeli
Ahahahaha tyubu vijijini wangeshangilia nasikia kuna dalili ya muwakilishi wa familia mmoja atakwenda kula pipi na rais ikulu basi atarudi nyumban na kusema amepata bahat ya kuingia ikulu na kula jojo na rais
 
Namna gani hapa Zitto anampiga kanzu JPM,tobo uwanja unalipuka. Tundu yupo nje uwanja akigangwa ganga,mpira unaendelea mpenzi msikilizaji
Ahahahahahahahkha ngoja polepole aone comment yako nissan nyeupe itakutafuta
 
Nashukuru kwa kunikumbusha make nasikia Mungiki wapo kwetu siku hizi wakiamua kukichafua mtaani wanachapa tu
halafu na pf3 sijui unaenda kuichukulia wapi!?
Walinda usalama ndio wamekuwa wavunja usalama, sijui tunaponea wapi vichaa washapewa rungu!!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
halafu na pf3 sijui unaenda kuichukulia wapi!?
Walinda usalama ndio wamekuwa wavunja usalama, sijui tunaponea wapi vichaa washapewa rungu!!
Hiyo ni kuitafuta kwa mke muhimu kukukanda vyema make kwenda ni kama unajipeleka kuwa sample kama specimen
 
Hiyo ni kuitafuta kwa mke muhimu kukukanda vyema make kwenda ni kama unajipeleka kuwa sample kama specimen
Tukitoka hapo tunajisifia "upelelezi na uchunguzi makini" na wala hatuhitaji wachunguzi kutoka nje!!
Wananchi wanafunzwa kujichukulia sheria mkononi na hawajapata balimi zao...
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Zito ana stresses, ndiomana anaamua kuongea kilaneno linalomjia mdomoni ilikujaribu kurudisha chamachake barabarani.
Mkuu tatizo unaleta singeri badala ya kujibu hoja za kizito Zitto Kabwe
 
kuna mtu atakufa kwa presha mwaka huu..ugali moto mboga moto...bandika bandua..kulaleki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata hiyo Fedha US$ 300m ya kishika uchumba kutoka @BarrickGold wanakata $200m za VAT refund wanazodai. Hata Balimi ni 3 tu sio 7 tena
Source: Zitto Ruyagwa Kabwe on Twitter


Kuna arguments zingine ni za kitoto kabisa! Kwa hiyo kama kutakuwapo deduction ndio iweje sasa? Kwani imesemwa au kuna yeyote amejigamba kwamba hizo 300m USD ndio zinatarajiwa kuja kukidhi mahitaji yetu yote kama nchi? Je,hata kama tunaambulia kidogo tu katika ahadi nzima yeye hilo kwake ni ushindi? Kwani kuna hoja gani hasa hadi hiyo 300m itolewe kama kielelezo cha failure?
 
Zitto alifikiri ataishi kama enzi za JK? sasa hivi hata kamati atapewa.
Mkuu mbona unatoa vijembe badala ya kupinga kauli ya Zitto kwa hoja????
Acha kutoa povu huyo ndio Zuberi atawajambisha sana, na Wakili Msomi TL soon atarudi barabarani mtabaki ka sindano.
 
Huyu jamaa yupo London ndio maana anashusha mabomu mazito zito
 
Nilimsikia Prof. Kabudi wakati anafafanua ile "50/50" na kusema wasioamini wanapaswa kuombea nikaelewa kwa nini JPM alisema ana mawaziri kadhaa wapumbavu kwenye cabinet yake
 
Tukitoka hapo tunajisifia "upelelezi na uchunguzi makini" na wala hatuhitaji wachunguzi kutoka nje!!
Wananchi wanafunzwa kujichukulia sheria mkononi na hawajapata balimi zao...
Usitaje mkuu balimi unaongeza uchungu make tulikuwa tushasema angalau tujipoze na 7 sasa ata 3 kamati lazima iundwe
 
ana hasira za kukosa uteuzi wa ugavana basi hapo lazima aje na kila takwimu hata za kupika alimradi tu aonekane naye ni mtaalam kwenye maswala ya uchumi
Hii ya ugavana ni story yako tu umetunga baada ya kunywa Balimi.
 
Naona zitto kunakitu anakitafuta ajiongezee ulinzi
 
Mimi Zitto huwa namkubali ila Hatabiriki KABISA!!
 
Back
Top Bottom