Zitto: Hata Balimi tutapata 3 tu na sio 7

Zitto: Hata Balimi tutapata 3 tu na sio 7

Nimeona tweet yake acha niongeze siku kwa kucheka ....
 
ana hasira za kukosa uteuzi wa ugavana basi hapo lazima aje na kila takwimu hata za kupika alimradi tu aonekane naye ni mtaalam kwenye maswala ya uchumi
Kw akili zako zito alikuwa anategemea kuwa gavana wa BOT?? Tatizo lenu badala ya kujibu hoja mnakuja na vitu vya ajabu ajabu tu!! Kwani zito si mchumi?? Jibuni hoja sio vitisho.
 
Hata mm nilijua tu. ACACIA lazima wakate Loss zao za kuzuia Makinikia.
 
Hata hiyo Fedha US$ 300m ya kishika uchumba kutoka @BarrickGold wanakata $200m za VAT refund wanazodai. Hata Balimi ni 3 tu sio 7 tena
Source: Zitto Ruyagwa Kabwe on Twitter
Mlevi
 
ana hasira za kukosa uteuzi wa ugavana basi hapo lazima aje na kila takwimu hata za kupika alimradi tu aonekane naye ni mtaalam kwenye maswala ya uchumi
Mwingine huyu hapa
 
Back
Top Bottom