Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,397
- 139,356
Namna gani hapa Zitto anampiga kanzu JPM,tobo uwanja unalipuka. Tundu yupo nje uwanja akigangwa ganga,mpira unaendelea mpenzi msikilizaji
Zawadi ya good gesture/good will wanakata kodi! Nadhani hiyo ndiyo ilikuwa tunawadai hivyo kuna tax returns za kisheria
Hatari sanaMwishowe tutaambulia azam embe ya 600
kila teuzi zikija hola; akiangalia huku nako waasisi wenzake wanamkimbia; wanamuachia na ukuu wa chama; lazima awehuke; tusubiri labda baada ya siku mbili tatu hizi anaweza rejea Katika hali yake .hahahahhah jibuni kwa hoja, mliambiwa watainuka wakina Lissu wengine wengi na Zitto Ni mmoja wao
Lakini vip anayoyapost mkuu hivi Yana ukweli wowote au nae ni msaliti tu?kila teuzi zikija hola; akiangalia huku nako waasisi wenzake wanamkimbia; wanamuachia na ukuu wa chama; lazima awehuke; tusubiri labda baada ya siku mbili tatu hizi anaweza rejea Katika hali yake .
Ambayo itakuwa LIVE Kama kawaida?Itatafutwa shughuli nyingine fasta ili hili dongo lijibiwe
Hii zaidi ya hatari yenyewe ??Hatari sana
Game bado mbichi kabisaNamna gani hapa Zitto anampiga kanzu JPM,tobo uwanja unalipuka. Tundu yupo nje uwanja akigangwa ganga,mpira unaendelea mpenzi msikilizaji
....Is this so? Kuna neno tax refunds umeliona na kuluelewa?Zawadi ya good gesture/good will wanakata kodi! Nadhani hiyo ndiyo ilikuwa tunawadai hivyo kuna tax returns za kisheria
....Au kipakti kimoja cha karanga za kijana wetu wa Madale...Mwishowe tutaambulia azam embe ya 600
Hata hiyo Fedha US$ 300m ya kishika uchumba kutoka @BarrickGold wanakata $200m za VAT refund wanazodai. Hata Balimi ni 3 tu sio 7 tena
Source: Zitto Ruyagwa Kabwe on Twitter
Umenifumbua macho mkuu tena bora apewe tenda mapema kabla na hiyo hatujaikosa....Au kipakti kimoja cha karanga za kijana wetu wa Madale...
ishia hapohapo kabla hujaitwa mchocheziHii zaidi ya tatu ??