Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,524
Kwa sisi tusiokunywa pombe,mgao wetu ni sawa na coca cola ngapi?
Daaa, wanazidi kukata!! Ivi ni kwel hii nchi inadaiwa kiasi hiki ivi eeh??!!! Na tunakoelekea hawa wazungu watatulambisha chibuku moja mojaHata hiyo Fedha US$ 300m ya kishika uchumba kutoka @BarrickGold wanakata $200m za VAT refund wanazodai. Hata Balimi ni 3 tu sio 7 tena
Source: Zitto Ruyagwa Kabwe on Twitter
Hivi una akili timam kweli?ana hasira za kukosa uteuzi wa ugavana basi hapo lazima aje na kila takwimu hata za kupika alimradi tu aonekane naye ni mtaalam kwenye maswala ya uchumi
Kunywa Balimi ni amri sio ombi mkuu.Kwa sisi tusiokunywa pombe,mgao wetu ni sawa na coca cola ngapi?
Hapana mkuu tutapata zile lollipop za ivory kwa bei ya jumla zinauzwa sh.85Mwishowe tutaambulia azam embe ya 600
Hata hiyo Fedha US$ 300m ya kishika uchumba kutoka @BarrickGold wanakata $200m za VAT refund wanazodai. Hata Balimi ni 3 tu sio 7 tena
Source: Zitto Ruyagwa Kabwe on Twitter
[emoji115] [emoji1]Mwishowe tutaambulia azam embe ya 600
Duh...!Mwishowe tutaambulia azam embe ya 600
Kama post hii ni ndivyo ilivyo nina maoni.Hata hiyo Fedha US$ 300m ya kishika uchumba kutoka @BarrickGold wanakata $200m za VAT refund wanazodai. Hata Balimi ni 3 tu sio 7 tena
Source: Zitto Ruyagwa Kabwe on Twitter
Mkuu nimekua interested na hiyo dhambi uloitaja. Ivi inapatikana kitabu gani vile?Kama post hii ni ndivyo ilivyo nina maoni.
Nina maoni kwamba pindi linapokuwa suala la kupambana na zurumati Zitto utumie busara kwenye post zako. Yaani waweza kukumbusha madhaifu ila si kwa kueleza kana kwamba juhudi zote ni bure.
Kama kuna dhambi kubwa duniani iliyo igharimu dunia na wakaazi wake ni dhambi ya kutokuthamini.
Does he have one?Use your brain properly.
Wazee wa ramli mmekuja sasaTanzania haiwezi kuathiriwa na kukosa hela za 'BALIMI'
Wamarekani walitunyima Trilioni moja za sekta ya umeme, ila kwa fedha zetu wenyewe tunafanya rural electrification kwa vijiji vingi zaidi kuliko tulivyo fanya kwa kupitia hela ya Millenium Challenge Account! Nchi hii ni tajiri na ina vyanzo vingi vya mapato kuanzia gesi, utalii, kilimo, biashara, viwanda n.k.
Kutaka mgao wetu stahiki kutoka kwenye sekta ya madini kunaendana na dhana ya wazungu wenyewe kwamba, 'Dont leave money on the table'... Msomi nguli na mtaalam wa kiwango cha PhD, Dr Magufuli anafahamu sana hizi teknick za kuwachezesha kwata wazungu... Kawachezesha wee, sasa ngoma inogile, zito naye anaaanza kupiga filimbi... Mda sio mrefu tutambadilishia ngoma, tumpigie zile ngoma za Bolabo, tunone kama ataweza kucheza na yale majoka!
Mzalendo nani; sizo?Hana uzalendo
Hilo swali linawafaa bavicha wote including him Mr. nyepesi.Hivi una akili timam kweli?