Zitto: Hata Balimi tutapata 3 tu na sio 7

Zitto: Hata Balimi tutapata 3 tu na sio 7

Mkuu tukipata hata azam embe itakuwa afadhali sana, kwa mwendo huu hatari nayoiona ni kuwa tunaweza tukaishia na maji ya viroba vya Tsh 50.
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] au tuanze kuweka akilini ule msemo wa 'kila mdanganyika apambane na hali yake' yote sawa
 
ana hasira za kukosa uteuzi wa ugavana basi hapo lazima aje na kila takwimu hata za kupika alimradi tu aonekane naye ni mtaalam kwenye maswala ya uchumi
Mkuu, kwani nayo hii inahitaji mtaalamu wa masuala ya uchumi? Si ni hesabu tu ya kugawanya?
 
ana hasira za kukosa uteuzi wa ugavana basi hapo lazima aje na kila takwimu hata za kupika alimradi tu aonekane naye ni mtaalam kwenye maswala ya uchumi
Wacha kuropoka!
na ubunge amwachie nani, hana shida na teuzi zenu
 
Zito ana stresses, ndiomana anaamua kuongea kilaneno linalomjia mdomoni ilikujaribu kurudisha chamachake barabarani.
 
Back
Top Bottom