King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,899
- 95,233
Chadema ni taasisi hakuna mtu aliye juu ya cdm,ngojea haondoke huyo msaliti uone chama kitakavyopaa zzk ndio aliokuwa analeta majungu na kurudisha nyuma harakati za chama!!
Alichoandika mleta mada ni sahihi uwezo wa zitto ni wakipekee hauna mfano wazee wa chadema anawapa jofu ndiyo maana vitimbi hawamalizi kwa zito.
kukusudia kuwania Uenyekiti ndo Usaliti? Mmemcheza Mwali wakati Bikra ishavunjwa subirini Bleeding!
Zitto aende ccm wampe uenyekiti, mtu mhuni kabisa asiye na familia ndo maana anakuwa msaliti.hana cha kupoteza hyo. Hatakiwi cdm na wala hata akitoka cdm itadumu. Amuulize kaborou!
Nakubaliana na mleta mada. Zitto ajichunge sana hawa wachagga wamemkalia vibaya sana, walimkosakosa kwa sumu akalazwa Aga Khan safari hii wanaweza kutumia hata risasi.
Chadema ni taasisi hakuna mtu aliye juu ya cdm,ngojea haondoke huyo msaliti uone chama kitakavyopaa zzk ndio aliokuwa analeta majungu na kurudisha nyuma harakati za chama!!
Nakubaliana na mleta mada. Zitto ajichunge sana hawa wachagga wamemkalia vibaya sana, walimkosakosa kwa sumu akalazwa Aga Khan safari hii wanaweza kutumia hata risasi.
Kwan babu ako Slaa anafamilia?kuwa wewee
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii
uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo
kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili
kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima
atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito
buku 7 sasa mtakuwa mnaandika nini?
Nikikumbuka ya chacha wangwe,acha kabisa,hawa wanaweza mfanyizia halafu wakasingizia CCMKama kweli Zitto atauawa iwe kwa Risasi, Ajali au Sumu lazima,Lazima,Lazima Mbowe na Genge lake Lazima (Sio hiyari) Mjiandae , kisasi sio Hiyari ni Amri na Lazima itekelezwe Kikamilifu na kwa Wakati!
Si vema kuanza kuwaza hivyo dada maneno huumba futa hiyo post please si vema
Alichoandika mleta mada ni sahihi uwezo wa zitto ni wakipekee hauna mfano wazee wa chadema anawapa jofu ndiyo maana vitimbi hawamalizi kwa zito.
Kama anapendwa na kila mtu, na kwamba hata hao waliomvua madaraka ni watu, basi unamaanisha kwamba anapendwa pia na hao waliomvua madaraka, na huenda walimvua madaraka kwa kuwa wanampenda!Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii...