Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

Status
Not open for further replies.

simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
225
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii

uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo

kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili

kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima

atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito

hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake

kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira

Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote

trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli

I TRUST ZITTO, we are behind you

CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe
 
wivu kwa mwenyekiti eti kwa vile ana hela za kulisha ukoo wa zitto maisha yao yote.
 
Nakubaliana na mleta mada. Zitto ajichunge sana hawa wachagga wamemkalia vibaya sana, walimkosakosa kwa sumu akalazwa Aga Khan safari hii wanaweza kutumia hata risasi.

siku zile alituzuga ana malaria buku kumbe alikuwa anatafuta upenyo wa kwenda india kucheza dili zake za kukihujumu chama. werevu tuliijua sinema.
 
Sijui CHADEMA tumerogwa na nini? Nasubiri zitto atoe tamko ili nami nianze kazi yangu.
 
Nakubaliana na mleta mada. Zitto ajichunge sana hawa wachagga wamemkalia vibaya sana, walimkosakosa kwa sumu akalazwa Aga Khan safari hii wanaweza kutumia hata risasi.
CCM mmemtumia na sasa mnawaandaa watu kisaikolojia kuwa mnataka kumwua kama mlivyofanya kwa Dr. Mvungi, Mwangosi na maelfu ya wananchi wa Tanzania?

Kweli Zitto ni msaliti na mnafiki lakini iwapo mtamtoa uhai wake kama kawaida yenu, basi mjue nayo mtaitolea hesabu kwa Muumba.
 
Nyie mnaoanza kupika vitu humu lolote likitokea mtakuwa mashahidi wa kwanza.
Kama mnadhani unaweza kushiba ugali wako huko alafu unaingia JF kuandika tu kupunguza shibe itakuja kuwaumizeni.
Siasa zisitufanye tukasahau utu wetu.
 
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii

uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo

kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili

kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima

atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito

hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake

kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira

Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote

trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli

I TRUST ZITTO, we are behind you

CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe

Hata kama anapendwa na wananchi wengi isiwe ndo njia ya kukisaliti chama, hata hao unaowaona kina magufuli, mwakyembe wanashine kwa sababu wako ndani ya chama na hawakisaliti. Ukisaliti chama na kutolewa huwezi tena kushine. Kama mnabisha wajaribu kujiunga na vyama vingine mwone kama watashine kama walivyo sasa. Uzuri wa Chadema wako well-informed na kwa kutolewa kwa Zitto kwenye uongozi haiwezi kuifanya chama kutetereka, watu watapiga kelele na baada ya siku mbili watanyamaza na chama kinaendelea. Tunatakiwa kujenga taasisi si kujenga jina la mtu. Nawashukuru sana CDM kwa kujitahidi kujenga taasisi badala ya watu binafsi. Hata CCM wao wamejitahidi sana kujenga taasisi si majina ya watu. Kama wewe unadhani kwamba unakubalika sana na watu si utoke ukaunde chama chako na hao watu watakufuata huko huko, Kwa nini ung'ang'anie sehemu moja?

Kitu ambacho mimi nasisitiza ni kwamba vyama vya kisiasa na serikali kwa ujumla vijenge taasisi imara na si watu maana watu hawa wanakuja na kupita. Kwa mfano serikali yetu ikiweza kujenga taasisi imara basi tutakuwa tumeshinda maana hatutategemea watu ndo binafsi ndo watuletee maendeleo. Watanzania tunategemea watu binafsi kuleta maendeleo. Mathalani kwa kuwa Tanesco haikujengwa kuwa imara basi hata awe nani kiongozi pale hawezi kufanya mabadiko.
 
Ukiona maandiko kama haya yanaanza ujue kuna kitu kinatengenezwa. CCM imeshamtumia na sasa kashtukiwa huko alikokuwa anawafanyia shughuli zao sasa Zitto hana faida tena kwao. Ili kufanya mambo yawe magumu ni hiyo mipango ya assasination ili ionekane kuwa Chadema wamefanya hivyo na kuzidi kufanya watu waamini kuwa Chadema walimchukia Zito.
Namshauri Zitto akae na tahadhari, Hizo ni Ishara mbaya kwa utawala uliokutumia na ndivyo tawala nyingi zilivyo,zinakutumia kisha kukupotezea.
Ili kujua kuwa hawakuhitaji mbona hakuna hata mmoja anayetoa tamko la kukuhitaji huko CCM wanaishia kusema Kijana huyu ni mahiri,ana weledi nk nk? Nani hamtaki mtu wa hivyo?
Zitto alikuwa Jasusi ndani ya Chadema, na mara nyingi jasusi akigundulika anaye mu eliminate ni yule aliye mtuma ( kwa hapa ni CCM).
Kaa chonjo ishara ndio hizo Zitto!
 
Kama kweli Zitto atauawa iwe kwa Risasi, Ajali au Sumu lazima,Lazima,Lazima Mbowe na Genge lake Lazima (Sio hiyari) Mjiandae , kisasi sio Hiyari ni Amri na Lazima itekelezwe Kikamilifu na kwa Wakati!
 
Zitto aende ccm wampe uenyekiti, mtu mhuni kabisa asiye na familia ndo maana anakuwa msaliti.hana cha kupoteza hyo. Hatakiwi cdm na wala hata akitoka cdm itadumu. Amuulize kaborou!
 
Ukiona maandiko kama haya yanaanza ujue kuna kitu kinatengenezwa. CCM imeshamtumia na sasa kashtukiwa huko alikokuwa anawafanyia shughuli zao sasa Zitto hana faida tena kwao. Ili kufanya mambo yawe magumu ni hiyo mipango ya assasination ili ionekane kuwa Chadema wamefanya hivyo na kuzidi kufanya watu waamini kuwa Chadema walimchukia Zito.
Namshauri Zitto akae na tahadhari, Hizo ni Ishara mbaya kwa utawala uliokutumia na ndivyo tawala nyingi zilivyo,zinakutumia kisha kukupotezea.
Ili kujua kuwa hawakuhitaji mbona hakuna hata mmoja anayetoa tamko la kukuhitaji huko CCM wanaishia kusema Kijana huyu ni mahiri,ana weledi nk nk? Nani hamtaki mtu wa hivyo?
Zitto alikuwa Jasusi ndani ya Chadema, na mara nyingi jasusi akigundulika anaye mu eliminate ni yule aliye mtuma ( kwa hapa ni CCM).
Kaa chonjo ishara ndio hizo Zitto!

Nyie anzisheni tu Visingizio na Utetezi hafifu mkiona imetokea, Njia Panda ya Himo itakuwa Mbali kuliko Sayari ya Mars!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom