Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

Status
Not open for further replies.
M1, M2, M3. MK1 hadi MK10 MMK1 hadi MMK30 Bila shaka wewe ni mmoja kati ya hao. Poleni mpango wenu umebuma kabla ya kuanza.
 
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii

uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo

kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili

kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima

atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito

hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake

kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira

Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote

trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli

I TRUST ZITTO, we are behind you

CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe
Kama unavutiwa na sura yake mwalike mkanywe kahawa lakini sio biashara ya kwenda ikulu. Kwa lipi hasa ZZK analopendewa? hizo kelele za kujiandalia mazingira ya ulaji wa chini ya kapet? huyo mtu hamjamjua vizuri
 
Ramadhan Ighondu na Kamanda Msangi wameshakamilisha maandalizi, shauri yake.
 
Hujasikia wachagga wanavyouwana hovyo kwa papuchi na mali tu, ndani ya miezi mitatu iliyopita tumesikia mwanamke wa kichagga akiuwa mumewe kwa mali, tumesikia Mushi akiuwa na kumkosakosa Ufo kwa mali, tumesikia mwingine juzi Ilala kataka kuuwa ukoo mzima kwa papuchi. Itakuwa hivi vyeo na umaarufu, ajichunge sana na Mwenyeezi Mungu atamlinda InshaAllah. Hawa si watu hawa, tamaa wameweka mbele kuliko kitu chochote.

Tumesoma humu JF kuwa wapo kina Ben Saanane wanatembea na vichupa vya sumu. Ni hatari sana hawa wachagga, hawana utu hata chembe, hata uwafanyie nini ni lazima wakugeuke, iko ndani ya damu yao.

Wanageukana wenyewe kwa wenyewe itakuwa mtu wa mbali kama Zitto.

Lakini huyu Zitto nae kiranga komo, niliwahi kumwambia humuhumu JF miaka ya Jambo forums, kuwa asiwaamini hawa watamgeuka, sasa yametimia. Awe ana sikiliza ya wakubwa zake, tumeiona dunia kabla yake, asiwe mbishi kama busha la babu yake.

Hivi unavyoandika kuhusu wachaga ulishajaribu kutafakari kuwa wachaga hawako cdm tu, wako katika taasisi nyingine nyingi tu. Umeshajiuliza wachaga wengine wanajisikia je kuhusu kauli hizi? Unaweza pima na kuona madhara yake hata kama si ya moja kwa moja. Endeleeni na huu ujinga na upuuzi wenu na hakika mtavuna mlichopanda.
 
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii

uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo

kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili

kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima

atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito

hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake

kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira

Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote

trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli

I TRUST ZITTO, we are behind you

CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe

Mwisho leo kuzisemea nafsi za watu! Soma MAWIO la wiki hii uone mambo mazito aliyofanya kuiangamiza Chadema!
 
Nakubaliana na mleta mada. Zitto ajichunge sana hawa wachagga wamemkalia vibaya sana, walimkosakosa kwa sumu akalazwa Aga Khan safari hii wanaweza kutumia hata risasi.

hivi Mwigulu ameshakuona au?kampe taarifa kama upo mtandaoni dada.
 
Vise versa umeshafikiria hilo au akili yako ni one way
Zitto ana akili nyigi sana,Chacha yeye aliwaambia kabisa wamemwanga mboga yeye atamwaga ugali,si unaona walimwondoa.Zitto mjanja wanamprovoke lakini wamemshindwa
 
Aazishe chama chake, atuachie CDM yetu kama kweli anapendwa na watanzania!
 
hatuwezi kumpa uenyekiti mhuni asie na mke wala familia
Ha ha ha. Unachekesha sana. Kwa hiyo badri aliyeasi na kuiba mke wa mtu apewe nchi kabisa. Yule aliyeshindwa kusimamia familia na kutelekeza watoto anafaa kuwa rais wa nchi.
 
maccm wapumbavu sana akili za kuku zito anatakiwa kurudi kwa wanafiki wenzake ccm chadema siyo ya baba yake ni mali yetu wapenda maendeleo chadema
 
Hivi unavyoandika kuhusu wachaga ulishajaribu kutafakari kuwa wachaga hawako cdm tu, wako katika taasisi nyingine nyingi tu. Umeshajiuliza wachaga wengine wanajisikia je kuhusu kauli hizi? Unaweza pima na kuona madhara yake hata kama si ya moja kwa moja. Endeleeni na huu ujinga na upuuzi wenu na hakika mtavuna mlichopanda.

Ila zzk ulionywa siku nyingi kuwa kuendelea na kisakos ya tengeru hautafika mbali. Hawa jamaa hawaaminiki kabisa unless uwe mtu wa kusema yes boss. Ukadai inataka mabadiliko ya kweli na demokrasia halisi. Katu mambo hayo huwezi kupata cdm maana ile ni kampuni iliyosajiliwa tengeru na mkurugenzi yuko kule kule. Unataka uenyekiti ili mkwe awe nani sasa? Jiangalie bwana mdogo.
 
Maccm hayooo. Yameumbuka sasa yanaleta hoja mfu hapa JF, lakini mwisho wao upo. Mtawaua lakini atabaki mmoja wa kuja kuwauliza tu.
Maccm, Maccm. Sifa zenu kubwa kuliko zote ni siasa chafu zisizo na simile. Kweli, yule wa Igunga alisema kuwa amechoshwa na siasa zenu, leo ndo twayaona
 
Ila zzk ulionywa siku nyingi kuwa kuendelea na kisakos ya tengeru hautafika mbali. Hawa jamaa hawaaminiki kabisa unless uwe mtu wa kusema yes boss. Ukadai inataka mabadiliko ya kweli na demokrasia halisi. Katu mambo hayo huwezi kupata cdm maana ile ni kampuni iliyosajiliwa tengeru na mkurugenzi yuko kule kule. Unataka uenyekiti ili mkwe awe nani sasa? Jiangalie bwana mdogo.

Kwenye uliyo andika yote point moja tu, jiangalie bwana mdogo, ni tungo tata naifanyia kazi, asante.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom