Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

Status
Not open for further replies.
Sielewi kwa nini wana CCM mnalialia sana na maamuzi haya ya CHADEMA. Mwaka 1997 mlipomuuwa Kolimba Mtikila alijaribu kumlilia mkamtia kwenye misukosuko kibao.

The death of former CCM Secretary General and cabinet minister HORACE KOLIMBA(57) on March 13 under extraordinary circumstances was mourned throughout the country. Mr Kolimba had earlier obtained massive publicity by criticising the CCM party for its lack of vision and clear guidelines and had then been attacked verbally by several party colleagues for making such remarks in public. Summoned to Dodoma to explain his views to the party's Central Committee he collapsed during the meeting and then died three hours later. To avoid any allegations of foul play, President Mkapa ordered a post-mortem which found that he had died due to a rupture of the aorta, a natural cause of death.

On 14 December 1999, Christopher Mtikila, a religious leader and head of the unregistered Democratic Party, was sentenced to a year in prison for sedition.


The case against Mtikila arose in April 1997, when he was accused of uttering defamatory words against the government and leaders of the ruling Chama Cha Mpinduzi (CCM) party. Following the death of CCM Secretary-General Horace Kolimba, Mtikila had claimed that Kolimba had been killed by the ruling party and government. He further equated the CCM leaders to "satan."

In passing sentence, the presiding magistrate of the Kivukoni Magistrate's Court said that Mtikila should be sent to jail given the gravity of the offence and despite the fact that the accused was a first time offender. The magistrate found that Mtikila had uttered baseless allegations against top government officials, subjecting them to hatred by right thinking members of society. The magistrate further pronounced that Mtikila's words intended to introduce segregation in society and hence were also in violation of Section 31(1) of the 1976 Newspapers Act.

Mtikila is currently facing other sedition charges in connection with cassettes containing alleged defamatory statements about deceased former Tanzanian President Julius Nyerere. He is out on bail in this case (see IFEX alerts of 6 December and 16 November 1999.)
 
Most bizarre post. In any case, who REALLY stands to benefit from Zitto's demise? I'd advise him to be careful with his detractors but even more fearful of his "noisy" supporters. Politics is a game of strategy and in our mythically peaceful Tanzania it has already proven very deadly. You're never sure who wants you dead or deformed. Parents are known to have sold their albino children to butchers for cash or magic potions to attain their goals of wealth/positions. As for CHADEMA and their supporters they'd be very stupid to engineer Zitto's physical harm at this point in time. In fact, they have a huge stake in his safety and security as from now.
 
Dada faiza foxy Wewe mbona hatuhitaji kujua kabila lako!!! wewe ni mbaguzi wa ukabila na udini nimekufuatialia siku nyingi sasa wachaga wamekujaje hapa! serikali ya kikwete wana habari na wana harakati wamekufa bila hata ripoti za polisi kutolewa sasa hawa ni kabila gani? kama huna la kuongea shut UP!

Ni nanai asiyeelewa kuwa CDM ni chama cha wachagga?
 
Hoja zote dhidi yake hazina mashiko!!!! Naona ni za kitoto sana.
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii

uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo

kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili

kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima

atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito

hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake

kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira

Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote

trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli

I TRUST ZITTO, we are behind you


CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe
 
mmhhh nimependa post yako lakini mara nyingi comments zako zipo biased dhidi ya wachaga na zimejaa generalization, samahani lakini kama hutopenda kukuambia "live live" hivi



Matumizi mabaya ya madaraka yanayoweza kuhusishwa na ufisadi. Taasisi yetu inayo kamati ya tenda ambayo iko chini ya kamati ya makatibu na wakurugenzi. Lakini uzoefu unaonyesha kwamba kamati hii haifanyi kazi imezimwa kimya kimya na wajumbe wote wa kamati ya tenda kwa kuwa ni wachumia tumbo wanaojigonga kwa wakuu, wamekubali kuzimwa. Leo ikidaiwa kamati hiyo ilete nyaraka za mchakato wa manunuzi ya magari, pikipiki, vifaa vya kueneza taasisi, set ya televisheni iliyofungwa ofisini kwa mtendaji mkuu, hawana. Manunuzi haya yote yote yanafanywa na wakuu hasa hasa mkuu wa taasisi bila utaratibu wowote jambo ambalo ni hatari na linarahisisha matendo ya kifisadi. Bila aibu, mkuu wa taasisi ndio amekuwa mnunuzi wa vifaa vyote vya chama nje ya nchi kwa bei anayoijua mwenyewe na ambaye haihojiwi popote. Huu ni mfano wa wazi wa mgongano wa kimaslahi jambo ambalo ni hatari kwa kiongozi mkubwa wa taasisi kama yetu inayojitambulisha katika kupinga vitendo vya ufisadi na uvunjifu wa maadili ya uongozi kwa ujumla -Kitila Mkumbo
 
Nakubaliana na mleta mada. Zitto ajichunge sana hawa wachagga wamemkalia vibaya sana, walimkosakosa kwa sumu akalazwa Aga Khan safari hii wanaweza kutumia hata risasi.

Kweli inabidi awe makini, maana team Lumumba inaweza kutumia hii nafasi vibaya kama tulivyo shuhudia huko nyuma.
 
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii

uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo

Hiki ndicho kinacho waponza Zitto followers kudhani eti mtu wenu ni maarufu kiliko hata taasisi yenyewe. Kanisa Katoliki duniani ni maarufu sana, lakini siyo kwa sababu ya papa flan tu, ni kwa sababu ya waaumini kwa ujumla wanaongoza taasis hiyo
 
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii

uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo

kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili

kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima

atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito

hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake

kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira

Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote

trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli

I TRUST ZITTO, we are behind you


CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe
chonde chonde msijemuua mkasema ni chadema maana ninyi
 
Hata kama anapendwa na wananchi wengi isiwe ndo njia ya kukisaliti chama, hata hao unaowaona kina magufuli, mwakyembe wanashine kwa sababu wako ndani ya chama na hawakisaliti. Ukisaliti chama na kutolewa huwezi tena kushine. Kama mnabisha wajaribu kujiunga na vyama vingine mwone kama watashine kama walivyo sasa. Uzuri wa Chadema wako well-informed na kwa kutolewa kwa Zitto kwenye uongozi haiwezi kuifanya chama kutetereka, watu watapiga kelele na baada ya siku mbili watanyamaza na chama kinaendelea. Tunatakiwa kujenga taasisi si kujenga jina la mtu. Nawashukuru sana CDM kwa kujitahidi kujenga taasisi badala ya watu binafsi. Hata CCM wao wamejitahidi sana kujenga taasisi si majina ya watu. Kama wewe unadhani kwamba unakubalika sana na watu si utoke ukaunde chama chako na hao watu watakufuata huko huko, Kwa nini ung'ang'anie sehemu moja?

Kitu ambacho mimi nasisitiza ni kwamba vyama vya kisiasa na serikali kwa ujumla vijenge taasisi imara na si watu maana watu hawa wanakuja na kupita. Kwa mfano serikali yetu ikiweza kujenga taasisi imara basi tutakuwa tumeshinda maana hatutategemea watu ndo binafsi ndo watuletee maendeleo. Watanzania tunategemea watu binafsi kuleta maendeleo. Mathalani kwa kuwa Tanesco haikujengwa kuwa imara basi hata awe nani kiongozi pale hawezi kufanya mabadiko.

Agree with you, Chadema sio mtu au watu..., ni Chama period. CDM are not stupid, na pia hawakukurupuka kufanya maamuzi haya, wanajua consequences zake, so please don't underestimate CDM, for me ni kwamba huu uamuzi umechelewa sana kutoka.
 
mimi sio mwanasiasa.. but Mleta mada kwa namna ulivyoweka mada yako si haba umetumwa lolz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom