Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii
uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo
kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili
kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima
atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito
hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake
kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira
Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote
trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli
I TRUST ZITTO, we are behind you
CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe
Ha ha ha. Unachekesha sana. Kwa hiyo badri aliyeasi na kuiba mke wa mtu apewe nchi kabisa. Yule aliyeshindwa kusimamia familia na kutelekeza watoto anafaa kuwa rais wa nchi.
ila kuiba wake za watu ndio heshima?acha umburula binti
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii
uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo
kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili
kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima
atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito
hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake
kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira
Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote
trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli
I TRUST ZITTO, we are behind you
CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe
Alichoandika mleta mada ni sahihi uwezo wa zitto ni wakipekee hauna mfano wazee wa chadema anawapa jofu ndiyo maana vitimbi hawamalizi kwa zito.
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii
uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo
kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili
kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima
atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito
hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake
kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira
Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote
trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli
I TRUST ZITTO, we are behind you
CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe
Nakubaliana na mleta mada. Zitto ajichunge sana hawa wachagga wamemkalia vibaya sana, walimkosakosa kwa sumu akalazwa Aga Khan safari hii wanaweza kutumia hata risasi.
Ukiona maandiko kama haya yanaanza ujue kuna kitu kinatengenezwa. CCM imeshamtumia na sasa kashtukiwa huko alikokuwa anawafanyia shughuli zao sasa Zitto hana faida tena kwao. Ili kufanya mambo yawe magumu ni hiyo mipango ya assasination ili ionekane kuwa Chadema wamefanya hivyo na kuzidi kufanya watu waamini kuwa Chadema walimchukia Zito.
Namshauri Zitto akae na tahadhari, Hizo ni Ishara mbaya kwa utawala uliokutumia na ndivyo tawala nyingi zilivyo,zinakutumia kisha kukupotezea.
Ili kujua kuwa hawakuhitaji mbona hakuna hata mmoja anayetoa tamko la kukuhitaji huko CCM wanaishia kusema Kijana huyu ni mahiri,ana weledi nk nk? Nani hamtaki mtu wa hivyo?
Zitto alikuwa Jasusi ndani ya Chadema, na mara nyingi jasusi akigundulika anaye mu eliminate ni yule aliye mtuma ( kwa hapa ni CCM).
Kaa chonjo ishara ndio hizo Zitto!
kukusudia kuwania Uenyekiti ndo Usaliti? Mmemcheza Mwali wakati Bikra ishavunjwa subirini Bleeding!
Kama kweli Zitto atauawa iwe kwa Risasi, Ajali au Sumu lazima,Lazima,Lazima Mbowe na Genge lake Lazima (Sio hiyari) Mjiandae , kisasi sio Hiyari ni Amri na Lazima itekelezwe Kikamilifu na kwa Wakati!
Zitto ni dhahabu hata wafanye vipi atachomoza tu.
Hivi unavyoandika kuhusu wachaga ulishajaribu kutafakari kuwa wachaga hawako cdm tu, wako katika taasisi nyingine nyingi tu. Umeshajiuliza wachaga wengine wanajisikia je kuhusu kauli hizi? Unaweza pima na kuona madhara yake hata kama si ya moja kwa moja. Endeleeni na huu ujinga na upuuzi wenu na hakika mtavuna mlichopanda.
ila kuiba wake za watu ndio heshima?acha umburula binti
Zitto ana akili nyigi sana,Chacha yeye aliwaambia kabisa wamemwanga mboga yeye atamwaga ugali,si unaona walimwondoa.Zitto mjanja wanamprovoke lakini wamemshindwa
Ila zzk ulionywa siku nyingi kuwa kuendelea na kisakos ya tengeru hautafika mbali. Hawa jamaa hawaaminiki kabisa unless uwe mtu wa kusema yes boss. Ukadai inataka mabadiliko ya kweli na demokrasia halisi. Katu mambo hayo huwezi kupata cdm maana ile ni kampuni iliyosajiliwa tengeru na mkurugenzi yuko kule kule. Unataka uenyekiti ili mkwe awe nani sasa? Jiangalie bwana mdogo.