kazikubwa JF-Expert Member Oct 8, 2010 597 145 Mar 18, 2013 #41 Hivi gazeti la Mtanzania ni la Eric Shigongo?
Kimbunga Platinum Member Oct 4, 2007 14,941 9,947 Mar 18, 2013 #42 Jiwe Linaloishi said: kimbarii inatunyemelea tukivuka 2015 salama tumshukuru mungu Click to expand... Mkuu umenikumbusha kitu. Ukiona watu wanawindana basi ujue kuna kitu kinanyemelea hapo. Hali si hali bali miuhali
Jiwe Linaloishi said: kimbarii inatunyemelea tukivuka 2015 salama tumshukuru mungu Click to expand... Mkuu umenikumbusha kitu. Ukiona watu wanawindana basi ujue kuna kitu kinanyemelea hapo. Hali si hali bali miuhali