kazikubwa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 597 Reaction score 151 Mar 18, 2013 #41 Hivi gazeti la Mtanzania ni la Eric Shigongo?
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,952 Reaction score 10,037 Mar 18, 2013 #42 Jiwe Linaloishi said: kimbarii inatunyemelea tukivuka 2015 salama tumshukuru mungu Click to expand... Mkuu umenikumbusha kitu. Ukiona watu wanawindana basi ujue kuna kitu kinanyemelea hapo. Hali si hali bali miuhali
Jiwe Linaloishi said: kimbarii inatunyemelea tukivuka 2015 salama tumshukuru mungu Click to expand... Mkuu umenikumbusha kitu. Ukiona watu wanawindana basi ujue kuna kitu kinanyemelea hapo. Hali si hali bali miuhali