Zitto azomewa Bukoba

hakuna watu wenye wakati mgumu kipindi hiki cha zitto kama vijana wa bavicha, wanatia huruma kwa kweli, hawakuzoea upinzani mkali kama wanaoupata kutoka act, walizoea kuwaburuza tlp, nccr, nra ,tadea na nld

Kama uvccm wanavyokosa raha na usingizi juu ya lowasa,maana ataisambaratisha kabisa ccm
 
Hahahahahaha mkuu umetisha saaanaaa.Yani huo ni ukweli mtupu Bvichaa wanavichaa vya mbwa
Mtu yupo Karatu akisikia tu jina la Zitto anatoka mbio kuja kurusha ngumi JF.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda komaa na uzi Mbowe anakusoma.

Teeeeeh,teeeeh,teeeeeh,Ritz mimi sipo kihivyo kama wewe unaye ripoti asubuhi lumumba kupangiwa ni post ngapi kwa siku
 
Kamanda mbona umeandika kinyonge hivyo umerusha tauro baada ya kuona picha za Bukoba.

Picha gani mkuu za kumfanya mtu awe mnyonge? Au wewe uwanja wa mayunga hauujui?
 

Attachments

  • 1434394947080.jpg
    70 KB · Views: 175

Kajifunze Kiswahili kwanza.
 
Kwa hiyo Chadema Zitto akizomewa nyie mnachukua dola?
 
Last edited by a moderator:
Mtu yupo Karatu akisikia tu jina la Zitto anatoka mbio kuja kurusha ngumi JF.

Ritz naona umeamua kuja kuondoa stress zilizotokana na lumumba kuwa ktk hali tete
 
Last edited by a moderator:
Bavicha andamaneni kupinga majukumu mliopewa na Mbowe ya kupambana na Zitto. Mwambieni kuwa kama anayo NIA yakuwapa posho nibora awape majukum mengine.
ona hata Aibu basi
 

Kwa hiyo mlikisaliti chama kwa kurubiniwa na mafuta ya wasaliti ili mumpe kick. Basi kama ni usaliti tunao sisi wafuasi na sio viongozi wetu.
 
Ritz naona umeamua kuja kuondoa stress zilizotokana na lumumba kuwa ktk hali tete
Mimi fikra zangu zipo huru nachangia chochote nichojisikia tofauti na wewe ni Chadema tu kumsifia Mbowe na Slaa.
 
Kamanda unaniwekea picha za Tumaini Makene ambazo zinatengezwa UFIPA.

Kwi kwi kwi kwi

Mkuu hiyo ilikuwa ni Arusha tulipokuwa tunashuhudia wabunge wa cdm wanawasha moto wiki iliyopita.siyo ya kutengeneza kama mnazowatengenezea hao act na zile za kinana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…