Zitto azomewa Bukoba

Bavichaa wamepewa majukumu mazito sana.Yaani kuzuia mafuko kwa mikono!!!
Pro - Chadema msipokuwa makini Zitto atawafanya muwe machizi maana kila Bavicha mpaka viongozi wao wote wamepagawa.
 
Kapwela Kwa huu mchakamchaka wacha Chadema wapagawe daa!!! Bavicha endeleeni kujifariji na kujiliwaza hapa JF bila kufanya hivyo mnadhani itakuaje.
 
Last edited by a moderator:
Lakuchumpa

Hakuna watu wenye wakati mgumu kipindi hiki cha zitto kama vijana wa bavicha, wanatia huruma kwa kweli, hawakuzoea upinzani mkali kama wanaoupata kutoka act, walizoea kuwaburuza tlp, nccr, nra ,tadea na nld
 
Last edited by a moderator:
Raha jipe mwenyewe acha wajiondolee stress.
Kwa huu mchakamchaka wacha Chadema wapagawe daa!!! Bavicha endeleeni kujifariji na kujiliwaza hapa JF bila kufanya hivyo mnadhani itakuaje.
 
Raha jipe mwenyewe acha wajiondolee stress.
Yaani sasa hivi wewe ukitaka ushangiliwe na wafuasi wa Chadema hata bila kukuhoji wewe wambie nimekutana na Zitto sokoni watu wamemzomea utashangiliwa utaitwa kamanda wa ukweli.

Teh teh teh teh
 
Hahaaaaaaa nacheeeeeka mtajitia vidole mwaka huu subirini October
 
Hahaha chezea dj na babu,wamewapa bavichaa majukum mazito ili posho iende kihalali wakati wao wanakula bata kiulainiii
Ahahaha sasa hivi wanachofanya Bavicha ni kurusha ngumi hewani.
 
Mtu yupo Karatu akisikia tu jina la Zitto anatoka mbio kuja kurusha ngumi JF.
 
Last edited by a moderator:
Kwa huu mchakamchaka wacha Chadema wapagawe daa!!! Bavicha endeleeni kujifariji na kujiliwaza hapa JF bila kufanya hivyo mnadhani itakuaje.

Ccm b kazini,hapo bado kuvalishwa kijani
 
Yaani sasa hivi wewe ukitaka ushangiliwe na wafuasi wa Chadema hata bila kukuhoji wewe wambie nimekutana na Zitto sokoni watu wamemzomea utashangiliwa utaitwa kamanda wa ukweli.

Teh teh teh teh

Kama wewe ukiambiwa lowasa,kajiondoa kwenye mbio za urais
 
Last edited by a moderator:
Hahaha chezea dj na babu,wamewapa bavichaa majukum mazito ili posho iende kihalali wakati wao wanakula bata kwa pesa za ruzuku kiulainiii!!!!!!!
Ahahaha sasa hivi wanachofanya Bavicha ni kurusha ngumi hewani.
 
Hahaha chezea dj na babu,wamewapa bavichaa majukum mazito ili posho iende kihalali wakati wao wanakula bata kiulainiii
Najua Dr.Slaa na Mbowe mnafuatilia huu uzi kwa ukaribu mno.

Hawa vijana wenu wa Bavicha wapo vitani na pistol za maji.

Teh teh teh
 
ona hata Aibu basi
 
Ritz Alizomewa Kinana mpaka hata Mimi nikajisikia aibu ikabidi nitoke uwanjani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…