Mkuu CHADEMA wanaichukia CCM kwasababu Dr. Slaa ni mwanachama hai wa CCM na hakuwahi kuikana na kurudisha Kadi ya mwanachama.
Mkuu kama upo BK tutafutane tunyukane kwa hoja maana naona hapa kwenye mtandao unasaidiwa na walevi wenzio wa Ufipa.
utafiti nilioufanya kwa muda mrefu sana , nimegundua kwamba MUNGU HANA KAMATI , ni vigumu sana wasaliti kusalimika maana Mungu hana wajumbe wa kujadiliana nao , LAANA YA USALITI NI MBAYA MNO !
Ni Kitu Gani Umekiweka Hapa Unachokiita Hoja We Sema Unataka Kukutana Na Gegedu Lake Ila Kuhusu Hoja Huna
. Acha uongo hizo picha siyo Za BukobaView attachment 260639View attachment 260635View attachment 260638View attachment 260636
DUH... AISEE NAONA WANANCHI WA BUKOBA WAKIZOMEA KWA MAKINI bSANA......LITAWAPWELEPWETA MKIA HAUWEZI KUTIKISA NGO'MBE....Hizo ni za rasharasha za masika bado:smow::smow::smow:
View attachment 260639View attachment 260635View attachment 260638View attachment 260636
DUH... AISEE NAONA WANANCHI WA BUKOBA WAKIZOMEA KWA MAKINI SANA......LITAWAPWELEPWETA MKIA HAUWEZI KUTIKISA NGO'MBE....Hizo ni za rasharasha za masika bado:smow::smow::smow:
. Acha uongo hizo picha siyo Za Bukoba
Ni Kitu Gani Umekiweka Hapa Unachokiita Hoja We Sema Unataka Kukutana Na Gegedu Lake Ila Kuhusu Hoja Huna
Sawa dada Hijja.
Mkuu ndiyo maisha,kwani alidanganywa kuwa nyota yake itaendelea kama alivyokuwa cdm
We ma.la.ya wakimboka hebu badili hiyo Id yako haikufai.
Mbona wanamsikiliza kwa makini....
Nikiwa hapa Bukoba leo nimehudhuria mkutano wa ACT-Wazalendo katika uwanja wa Mashujaa. Kiongozi mkuu wa chama hicho,niko Zitto Kabwe alikuwa akihutubia.
Awali alianza kueleza sababu za kuondoka CHADEMA, akisema sio kosa kubadilisha jukwaa la siasa. watu walikuwa wakimpigia makofi tu.
Lakini hali ya mkutano ilibadilika na kuwa mbaya pale alipoanza kujisifu kuwa yeye ndiye aliyeagiza hesabu za CHADEMA zikaguliwe na CAG, kisha akaitwa msaliti na kamati kuu ya CHADEMA.
Hapo wananchi waliokuwa uwanjani hapo wakaanza kupiga kelele wakisema 'sio kweli, sio kweli, sio kweli".
Ilibidi Zitto abadilishe mahubiri na kuanza kueleza msimamo wa chama chake. Lakini watu wakawa hawamsikilizi tena. Wengine walisikika wakisema, "kama umekuja hapa eleza ya chama chako, ya CHADEMA uyaache,".
Kama hiyo haitoshi, Zitto akaanza tena majigambo akisema eti alipokuwa bungeni aliiangusha serikali mara tatu, "Hao wanaokuja kunitukana waseme wamefanya nini bungeni" alisema Zitto.
Watu waliendelea kuzomea hadi Zitto akasema, "Kama hamtaki kunisikiliza naondoka zangu,". Watu wakajibu,waliendelea kuzomea " Nendaaa...!
Hata hivyo mkutano umeisha salama.
Kwa kweli Zitto ana kazi ngumu kuijenga ACT-Wazalendo?
Hakuna Rukhsa Kutumia Mtandao Huu Kutafuta M.A.B.W.A.Na Kama Ni Ucamerun Wako Utashughulikiwa Na Wa.h.Aya Wenzio Hapo Kwenye Kimji Chenu Kibovu