Awadh Samuel Kiwelu
Senior Member
- Oct 11, 2014
- 192
- 69
dhambi ni dhambi hata uwe BUkoba
sasa uliza wanachama wa ACT kwenye kundi hilo ni wangapi ? utazimia mkuu , ukiacha viongozi waliosafiri wengine wakifika hata 10 yatakuwa maajabu , halafu watu kuwepo kwenye mkutano wako si lolote ! kinana anafanya mikutano karatu na watu wanajaa lakini ukweli ambao hata wewe unaujua ni kwamba hakuna ccm pale !View attachment 260639View attachment 260635View attachment 260638View attachment 260636
DUH... AISEE NAONA WANANCHI WA BUKOBA WAKIZOMEA KWA MAKINI SANA......LITAWAPWELEPWETA MKIA HAUWEZI KUTIKISA NGO'MBE....Hizo ni za rasharasha za masika bado:smow::smow::smow:
... Hiv Kwanin Ccm Wanamtetea Sana Zito?
utafiti nilioufanya kwa muda mrefu sana , nimegundua kwamba MUNGU HANA KAMATI , ni vigumu sana wasaliti kusalimika maana Mungu hana wajumbe wa kujadiliana nao , LAANA YA USALITI NI MBAYA MNO !
sasa uliza wanachama wa ACT kwenye kundi hilo ni wangapi ? utazimia mkuu , ukiacha viongozi waliosafiri wengine wakifika hata 10 yatakuwa maajabu , halafu watu kuwepo kwenye mkutano wako si lolote ! kinana anafanya mikutano karatu na watu wanajaa lakini ukweli ambao hata wewe unaujua ni kwamba hakuna ccm pale !
Kweli kabisa mungu kamati,Slaa kamsaliti yesu na bado akaona haitoshi akapokonya mke wa mtu,nabado akaona haitoshi akapiga mimba mke wa mtu.Lakin akaona bado haitoshi akaona nibora aendelee kuzini na mke wa mtu mpaka leo.Laana ya mungu haitomwacha kamwe!!
Aiseee mnahangaika sana mbona,kama sio wanachama wanatafuta nini hapo,au ndio wameandaliwa kuzomea?
Act your age bro, usiwe kama mtoto.Siasa za majitaka sio nzuri wa ustawi wa taifa letu.
Akirudi bungeni nitavaa pampasi siku ya kuapishwa kwake!
Mbona hauulizi kwanini cdm wanaichukia sana ccm? Zzk ni ccm
unarudia yale yale yanayomfanya msaliti azomeweMkuu CHADEMA wanaichukia CCM kwasababu Dr. Slaa ni mwanachama hai wa CCM na hakuwahi kuikana na kurudisha Kadi ya mwanachama.
Mkuu kama upo BK tutafutane tunyukane kwa hoja maana naona hapa kwenye mtandao unasaidiwa na walevi wenzio wa Ufipa.
Mikutano kama kokoro,kwamba linabeba kila kitu,kuna wanachama ambao wanakuwa wengi,kuna wanaokuwa na mission zao kama Wazomeaji wa CHADEMA,kuna wasikilizaji ambao uvutiwa na sera za chama ama mtu binafsi,kuna wafuata mkumbo.kwani wanaoenda kwenye mkutano Ni wanachama tu...