Tuwaombee afya njema yeye Zitto na Arfi maana wote wamelazwa Aga Khan Hosp
hivi alicho kifanya zito angekifanya kiongozi yoyote mwenye wazifa kama wazito ccm ingekuwaje...Hapo chadema wamekosea watanzania hawatawaelewa,itaonekana mumemuonea kwadiniyake na pia mtaambiwa mna ukabila na ukanda, mjiandae kwa ushahidi kamili wakuwajuza watanzania tofauti nahapo hamtaeleweka na chama kitayumba na wasioipenda chadema watapata pakuharishia uchafuwao dhidi ya CHADEMA ni ushauri tu msinichukie.
Why is this leaking?.... why? why? why?Nimezungumza na Frederick Katulanda yule Mwandishi wa Habari wa Mwananchi, amesema ni kweli katika semina hiyo ya siku mbili wabunge wa Chadema wamepiga kura za kutokuwa na Imani na naibu kiongozi wao wa kambi ya upinzani Zitto Kabwe, na kura zilizoshinda ni zile za kutokuwa na Imani naye, Zitto alitambua hilo kwani lilikuwa wazi katika ratiba, hivyo Presha ilimpanda na kuamua kurudi chumbani ili asishuhudie hali hiyo ikitokea, huko baadaye inasemekana alipelekwa Aga Khan kulazwa.
Kwa hiyo kilichotokea ni kuwa amepigiwa kura za kutokuwa na imani wa wabunge tu, kuvuliwa ni mpaka kikao cha chama ambacho kinatarajiwa kukaa kesho Dar, huko wakithibitisha kura za wabunge basi Zitto atavuliwa rasmi uongozi wa kambi ya upinzani na kubaki mbunge wa kawaida kama Mnyika, Wenje au wengineo na siyo kiongozi wa upinzani.
mmmmh balaaa!
Mbona watu humu ndani mmetokea kumchukia Zitto? Hamkumbuki yeye ndiye aliyefanya chadema ipendwe na vijana??
Hiki kidogo kinaudhi sana, kidogo kibishi kama nini? sisi tuko serious chenyewe kinatufanya sisi wa mwaka 47, sasa wakivue vyeo vyote tuone kama hakitahama maana kilisema eti hakitoki chadema. Hakuna haja ya kukifukuza uanachama, ila kiwe mwanachama wa kawaida na kikiendelea kuchimbachimba kirudisha na Kadi ili kiwe huru kurudi kwa wajomba au kiwafata wadogo zake.
</p>Kuna wengine apa mmoja wao mie nimeijua chadema cz of zitto,yani huniambii kitu!haya majungu yote wtvr yanaingilia uku yanatokea kule!yani am zittomaniac!</p>
<p> </p>
<p>I value him loads cz kani inspire sana ktk huu ulimwengu wa kisiasa!naona wanamsakama sana!</p>
<p>We behind u Zitto,just keep it real!some of us are beliaving in you!
ccm wangemwita ktk vikao vyao wakamuonya kwasiri ktk vikao nahuwa hawakurupuki wanakua makini ktk maamuzi yao,na wala habari zao hazivuji ovyo2,huo ndio ukweli mkuuhivi alicho kifanya zito angekifanya kiongozi yoyote mwenye wazifa kama wazito ccm ingekuwaje...
ccm wangemwita ktk vikao vyao wakamuonya kwasiri ktk vikao nahuwa hawakurupuki wanakua makini ktk maamuzi yao,na wala habari zao hazivuji ovyo2,huo ndio ukweli mkuu