Zitto arejea Nchini

Waberoya umefuliaaa. Toka zako kaanzisheni chama chenu cha wahuni na Mwenyekiti wako Zitto.
Mkakiite Chama Cha Demokrasia ya Kihuni (CHADEKI)
Mtapata wahuni wengi tu.
Usituandikie upuuzi humu.
Chadema huko kazi ipo?? zitto kichwa hicho hakuna kitu mtamfanya pamoja na kwamba mnatuhumu? very interesting?
 
Leo Mheshimiwa Zitto, amevunja ukimya TBC, kasisitiza hana mpango wa kuhama Chadema ng'o ili pia kasema hakuna ubaya kumsuport home boy wake Kafulila kokote aendako.
 
Leo Mheshimiwa Zitto, amevunja ukimya TBC, kasisitiza hana mpango wa kuhama Chadema ng'o ili pia kasema hakuna ubaya kumsuport home boy wake Kafulila kokote aendako.

- Hivi nani hasa anayetaka Zitto atoke huko, sisi wananchi au maadui zake huko Chadema? Halafu what is the difference akibaki au akitoka at this point and time?

Respect.

FMEs!
 
- Hivi nani hasa anayetaka Zitto atoke huko, sisi wananchi au maadui zake huko Chadema? Halafu what is the difference akibaki au akitoka at this point and time?

Respect.

FMEs!

Anataka kuproove yeye ni mtu wa msimamo, ila pia anasimama kwenye true friendship na Kafulila besides political affiliation.
 
Chadema huko kazi ipo?? zitto kichwa hicho hakuna kitu mtamfanya pamoja na kwamba mnatuhumu? very interesting?

Sasa wewe Tumain,
Nini kinachokufanya wewe kuamini kuwa huyo pius ni chadema na sio ccm au chama kingine? Anaweza kuwa anatokea ule upande usiopenda mabadiliko, au upande ule unaopenda mabadiliko ila sio kupitia kwa wengine. Hapo unasema je?
 
- Hivi nani hasa anayetaka Zitto atoke huko, sisi wananchi au maadui zake huko Chadema? Halafu what is the difference akibaki au akitoka at this point and time?

Naona sasa karibu tutafika tulikotaka kwenda tukijibu ni nani anamsukuma halafu tukitoa sababu zake hapo tutakuwa na uwezo wa kusema. Lakini sasa hatujui kama ni yeye mwenyewe anaamua kwa utashi wake au anasukumwa na mtu ninaposema mtu si maadui tu na marafiki zake pia au ni wapiga kura wake. Utashi vilevile hunaendana na sababu huwezi kusema ni utashi wangu tu au nimependa mwenyewe bila sababu, kwa hiyo tusimharakishe sana kutoa maamuzi ni hiari yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom