Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

Hivi Malaria Sugu yuko wapi? Nawe nani sijui hilo jina lako lina ukakasi unaelekea huko siku si nyingi. Kila siku pointless tupu
 
hukuona tamko la CDM? Au ulitaka kila mtu atoe tamko?
CDM sio kama ccm kila mtu na msimamo wake hata ndani ya baraza la mawaziri kila mtu ni kivyake...lol
 
Nawashukuru mliomjibu huyu bwana/bibi. Kuhusu dowans nilisema mwaka 2009! Sina jipya la kusema. Pia miye si msemaji wa chama kuhusu nishati, jukumu hili ni la bwana John Mnyika.
Kama kutokusema ni sawa na kuwa na hisa basi kuna mewngi kweli hatusemi na hivyo tuna hisa nyingi kweli. Pia kuna wengi hawajasema kuhusu dowans na hivyo dowans ina hisa kwa Watanzania wengi sana!
du bro kabwe kweli ulisema kipindi kile kuwa mitambo ya dowans itaifishwe kwa manufaa ya umma na kumbuka hata dr Slaa naye aliongea kipindi kile,but kwa ufisadi wao na jk wao wakasema kuwa taifa aliwezi nunua mitambo iliyochakaa na wakina mwakyembe walisema sanaa kuhusu sheria ya manunuzi PPRA kama nakumbuka niact ya 2001,but walishapanga mafisadi kuwa lazima tuwale mambege wa tz so sie tunatumia nguvu ya umma kueleza ubatya wa serikali ya jk
 
Kumbukumbu zangu kama niko sahihi ni kwamba mh.zitto hakupendekeza mitambo ya dowans kutaifishwa bali aliunga mkono mitambo ile inunuliwe kitu ambacho kwangu kilinistaajabisha kidogo na jamii ilipoonysha kutomwelewa alikuja na utetezi kwamba watz tukubali watu wenginewanapokuwa na mawazo tofaut.kama niko wrong kumradhi wanajf pamoja na mh.mbunge..

.
 
..jamani huyu kijana mwenzetu kumsema nimechoka..Leo asbh nimekutana nae akiwa na Range Rover Vogue Sports mpya ina number za nje I think imeanza na somethin P the Carlifornia..sina hakika kama inatokana na kale kamkopo ambako Mnyika na Lema walilalamika bila kutujuza kama wamechukua au lah au ndio marupurupu yenyewe ...

Aisee! Range Rover Vogue Sports kabisa? Hivi wapiga kura wake wamewahi kuisikia hiyo ndinga au kuiona tu kwenye picha?

Kweli ubunge deal tz, hawa ndio viongozi wetu wamiaka hii.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mbunge wa cdm amekuwa kimya kuhusu dowans
mana ukilijea kauli yake kuhusu dowans ina chembe chembe ya kuwa na share dowans

Je ni kweli Zitto kamegewa share dowans?

ulitaka aseme nini wakati tayari amesema sana kuhusu DOWANS
 
katika mikutani yoooote ya kanda ya ziwa zitto kabwe ameonekana kutoungana na wenzake katika mkutano hiyo, hata kutoonekana majukwaani,

Je zitto kaasi chama chake?:spider::spider:
 
Tundu Lissu yupo? Acha uchonganishi! Viongozi wangu wanajua sijakwenda kwenye ziara kwa sababu mama yangu mgonjwa. Namwuguza mama tafadhali!

Acha uzabizabina!
 
Bora umemjibu mapema,manake wasio kosa la kusema wangekuja hapa na kuchangia uzabinazabina wao ili mradi tu wakuponde....!!!!!
 
Tundu Lissu yupo? Acha uchonganishi! Viongozi wangu wanajua sijakwenda kwenye ziara kwa sababu mama yangu mgonjwa. Namwuguza mama tafadhali! Acha uzabizabina!
Sio lugha yako hii Zitto. Uguza pole.
 
Tundu Lissu yupo? Acha uchonganishi! Viongozi wangu wanajua sijakwenda kwenye ziara kwa sababu mama yangu mgonjwa. Namwuguza mama tafadhali! Acha uzabizabina!
Pole Zitto..
Labda anaonyesha jinsi ambavyo wanacdm wanavyoridhika kukuona kwenye hadhara mbali2.
 
katika mikutani yoooote ya kanda ya ziwa zitto kabwe ameonekana kutoungana na wenzake katika mkutano hiyo, hata kutoonekana majukwaani,

Je zitto kaasi chama chake?:spider::spider:

hivi kuwa mwanachama wa CHADEMA lazima uandamane? na kuonekana majukwaani?
 
Zitto uguza pole ndugu yangu.
Huyo Jeykey mwambie amuulize Makamba kwa nini hajaitisha maandamano ya kuunga mkono hotuba ya mkulu wa nchi?
 
Back
Top Bottom