unaongea nini wewe kinyesi? hawa wabunge walioongezeka mpaka kufikia 22 wametoka wapi? hujui ile saccos kipindi ikiwa chama ilikuwa na wabunge 5 tu? na wabunge 2 tu wakiwa active ambao ni Zitto na slaa. au huifikirishi vizuri hiyo coconut yako juu ya shingo?
Naomba unipe majibu ya haya maswali:
(1). Kama ni kweli Zitto alikuwa na nguvu ndani ya Chadema ni kwa nini viti vya madiwani vilipungua?
(2). Na kwa kuwa Zitto ananguvu ndani ya Chadema kwa nini hakuongeza mbunge hata mmoja wakawa wawili na kiendeleza mapambano ya ukombozi?