He! hivi kwani bado hajaondoka? Ninawaza chama kitatikisikaje tena wakati hayupo tu muda mrefu na chama kiko ngangari, labda atakapokiri kwamba sasa anatoka ndio hiyo mitikisiko itatokea?
Nahisi hivyo mkuu.