Huyu
Zitto Kabwe itakuwa kachanganyikiwa, anataka kuturudisha kwenye azimio la Arusha lililomshinda Nyerere?
Nyerere alikuwa "secessionist" ushahidi ni Biafra. Aliisaidia kwa hali na mali itengane na Nigeria.
Sasa nnaamini kuwa ATC haikuja kutaka kuongoza nchi imekuja kwa sababu zingine na tutazielewa tu, iko siku. Maana ni Watanzania wangapi leo hii wanaotaka siasa za Nyerere za kufunga kiwanda cha Matrekta kufunguwa kiwanda cha jembe la mkono? mwisho tukaishia kuwa wote masikini wa mwisho duniani.
Huko Zitto na wenzako humtupeleki na wala hatuwaungi mkono.
Khaa, hivi wana Kigoma nnavyowajua mimi jinsi wasivyomkubali Nyerere kwa kuwaweka nyuma kimaendeleo kwa miaka yote aliyokuwepo madarakani leo uwaambie unataka kuwarudishia siasa zake?
Wewe upo kimaslahi binafsi na si maslahi ya Watanzania.