Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 76
Nawapongeza Chadema kwa kuhitimisha mchakato wa kumpata KUB kwa stahili hii. Kama hii move imefanyika kwa dhati na si kwa ajili ya kamera za tv, recorder za radio au kalamu za magazeti, Chadema kitasimama.kutokana na mawazo na michango ya wana JF kuhusu Zitto kutumika kukigawa chama, leo imedhihirisha wazi kuwa watu bado hatujamwelewa Zitto Kabwe, dakika chache zilizopita Mhe. Zitto ame post kwenye facebook maneno yafuatayo "The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip." mimi kam mpiganaji wa miamvuli nasema nimependezwa na Mhe. Zitto kutoa kauli hii ambayo inaonyesha yeye binafsi amependezwa na hatua hiyo na kuwa yuko tayari kuwatumikia tanzania wote na mimi nikiwepo. Tuko pamoja. peoooopleeee
kutokana na mawazo na michango ya wana JF kuhusu Zitto kutumika kukigawa chama, leo imedhihirisha wazi kuwa watu bado hatujamwelewa Zitto Kabwe, dakika chache zilizopita Mhe. Zitto ame post kwenye facebook maneno yafuatayo "The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip." mimi kam mpiganaji wa miamvuli nasema nimependezwa na Mhe. Zitto kutoa kauli hii ambayo inaonyesha yeye binafsi amependezwa na hatua hiyo na kuwa yuko tayari kuwatumikia tanzania wote na mimi nikiwepo. Tuko pamoja. peoooopleeee
Angalia na huyu mbumbumbu! Hivi kwani akigombea urais ni vibaya? mbona anafaa? Uchungu utawaua. Ohh ushindi wa kishindo?! sasa uko wapi huo ushindi wa kishindo enyi wachakachuaji!Zito ni mnafiki tu hana jipya. haya 2015 anataka kugombea uraisi
CCM hata mwalimu wa chekechea ambaye hajawahi kuwa kada wa chama anaweza chukua fomu na kesho utasikia ni mgombea kwa sababu tu ni hawala ya Kikwete au Makamba. Shame!Mtu anapewa cheo kutokana na uwezo wake kiutendaji na sio kwa kujuana tu. hiyo ndo CHADEMA washa moto mwanzo mwisho
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe,
Pole kwa majukumu ya kila siku ya kuwakomboa watanzania. Binafsi nakufagilia sana kutokana na uelewa wako na ushaarabu Mungu aliokujaalia. Najua wapo wanaokubeza kutokana namisimamo yako lakini wewe umekuwa kiongozi wangu bora maana siku zote umekuwa ukijenga hoja na huwa hukurupuki. Naomba ufafanuzi wa kutounga mkono kitendo kilichofanywa na wabunge wa chama chako maana wewe binafsi hukiafiki. Kisheria Bunge la Tanzania linakamika panapokuwa na Rais "Bunge pamoja na Rais" yaani Rais ni sehemu ya buge kama alivyosema mama makinda jana pale bungeni. Nadhani kwa nyie kuendelea kuingia bungeni inamaana mnamkubali Rais ila kuna shinikizo linafanya muonyeshe kuwa mnamkataa au pengine ni kuganga njaa. Maana mkiquit hamtapata posho na mishahara.
Kwakua nakuamini nategemea utanijibu ipasavyo kwa hekima na ufasaha zaidi ama mnaingia bungeni kuganga njaa au laa...................

63.-(1) Rais kama sehemu moja ya Bunge atatekeleza madaraka yote aliyokabidhiwa na Katiba hii kwa ajili hiyo.Mhe. Zitto Zuberi Kabwe,
Pole kwa majukumu ya kila siku ya kuwakomboa watanzania. Binafsi nakufagilia sana kutokana na uelewa wako na ushaarabu Mungu aliokujaalia. Najua wapo wanaokubeza kutokana namisimamo yako lakini wewe umekuwa kiongozi wangu bora maana siku zote umekuwa ukijenga hoja na huwa hukurupuki. Naomba ufafanuzi wa kutounga mkono kitendo kilichofanywa na wabunge wa chama chako maana wewe binafsi hukiafiki. Kisheria Bunge la Tanzania linakamika panapokuwa na Rais "Bunge pamoja na Rais" yaani Rais ni sehemu ya buge kama alivyosema mama makinda jana pale bungeni. Nadhani kwa nyie kuendelea kuingia bungeni inamaana mnamkubali Rais ila kuna shinikizo linafanya muonyeshe kuwa mnamkataa au pengine ni kuganga njaa. Maana mkiquit hamtapata posho na mishahara.
Kwakua nakuamini nategemea utanijibu ipasavyo kwa hekima na ufasaha zaidi ama mnaingia bungeni kuganga njaa au laa...................
Samahani muheshimwa Zitto una ID ya jina la Mtanganyika tafadhali nifafanulie63.-(1) Rais kama sehemu moja ya Bunge atatekeleza madaraka yote aliyokabidhiwa na Katiba hii kwa ajili hiyo.
(2) Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa
niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa
majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii.
Sasa kanunue katiba usome tena kabla hujaja hapa kuuliza maswali yasio na kichwa wala miguu.... Umesikia.
Kabwe Zitto is just another got like Seif Sharif Hamad. He is not a hero like many tend to believe. He has his own benefits he is fighting for. Let his stand point be clear. kama hawaungi mkono wenzake basi angebakia bungeni lakini kwa ku chicken out he meant the same. He is just among many fools in CUF and CHADEMA.
Ni kama kumwambia mtoto niletee maji: Mtoto A akauchuna bila kusema kitu na maji hakuleta lkn mtoto B akasema sikuletei. Nani ni bora katika hao. da fool will say mtoto A ni bora kwa wenye busara kama mimi wote ni sawa. Im sick of him. He s**** like Seif Sharif Hamad