Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.

Huyu Mh huwa simuelewi at times, hii information ni ya kubomoa chama na sioni mantiki ya yeye kuisema hadharani. Zitto ni liability kubwa kwa Chadema. At times simuelewagi maamuzi yake anayatoaga wapi na anashauriwa na nani.
 
inasikitisha sana hasa kwa mtu tuliyemwamini alafu anafanya vitu vya ajabu, Mbowe ,Mnyika ,Slaa kazeni Buti
 

Wewe ni mkabila, mtu wa hovyo kabisa. Na inaelekea wewe ni shabiki wa CHADEMA inayolea watu wanaopenda kujudge watu na vitu kwa ukabila. Wewe unatakiwa ulaaniwe kabisa katika nchi yetu inayokua.. Zitto ana akili nyingi CHADEMA nzima na kwa vile sio mchaga basi mnamuita bwana mdogo, He's better than Slaa mna muita DR japo hajawahi kupractice accademics. Hovyo na ukabila wako, ingekua inaruhusiwa ningekurushia tusi zito hadi ukaenda kuoga
 

Hilo jina unalotumia haliendani na wewe kabisa,
Hebu elewa hivi
Watu hawamlaumu Zitto kupingana na wenzie, hiyo ni demokrasia na ndio maana Chadema waliitisha kura
WATU WANAMLAUMU ZITTO KUKIMBILIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA KUROPOKA SIRI ZA CHAMA, KWANI ZITTO ALIKUWA PEKEYAKE ALIYEPINGA?, MBONA WENGINE HAWAKWENDA KWENYE VYOMBO VYA HABARI? YEYE NI NANI? NI MSEMAJI WA CHAMA?
 

Punguza ushabiki; hapa JF watu wanafikiri zaidi kabla ya kuandika badala ya kuleta ushabiki tu wa kijinga. yaelekea huyajui hayo maana umejiunga JF juzi tu na kuingia kichwa kichwa.
 
Pia nimemsikia Zitto akihojiwa na Tbc akikubaliana na hotuba ya Kikwete ya kuwa kwenye uchaguzi kulikuwa na udini.
 
Zitto is hypocrite,coward,an imposter and of course he is just one of those guys...piece of shit!
 

Jina langu linaendana na mitazamo endelevu kabisa, sio ushabiki wa kitumwa kama wewe.

Yes zitto anastahili kutoa tamko lake kwa sababu yeye ni Naibu katibu mkuu, Naibu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, ni mbunge anayewakilisha wananchi wa jimbo lake. Kwa nini mnataka kumfanya mtumwa as if amechaguliwa na Dr Slaa na Mbowe.. Nyie wenyewe mnasisitiza haki sawa na uwazi,, halafu zitto anapofuata haki na democrasia anaonekana mkorofi.. kwa mtu mstaarabu na uliye elimika katika siasa ya dunia ya leo, lazima utakubali walichofanya ni kitu cha kitoto sana kufanywa na chama cha pili kwa ukubwa, rubish
 
Zitto ni very smart ndani ya Chadema. Huyu jamaa ndiye aliyetakiwa agombee Urais kupitia Chadema.
 
Zito umechelewa sana kwenda zzm ,usikumbuke shuka wakati kumekucha,wameshatafuna kila kitu.
 
Ina maana Zitto anamtambua JMK kama rais "halali" wa JMT?
naomba kuelimishwa hapa.
 

Yeye ndiye mwenye mawazo mazuri na ndiye yeye aliyekifanya Chadema kionekane chama cha kisomi zaidi. Namlaumu Slaa, kwa kugombea Urais kwa sababu kaharibu muongozo halisi wa Chadema. Zitto ataleta upinzani zaidi kama atagombea urais 2015.
 
zitto ni mnafiki na msaliti.siku moja ndo mtaliona hili ingawa mmeng'ang'ania kuwa ni demokrasia!
 
Pia nimemsikia Zitto akihojiwa na Tbc akikubaliana na hotuba ya Kikwete ya kuwa kwenye uchaguzi kulikuwa na udini.
Kwani hili halikuwa wazi? Wangapi walisikika wakipiga kampeni kwa visingizio vya elimu ya kiraia?
 
Ina maana Zitto anamtambua JMK kama rais "halali" wa JMT?
naomba kuelimishwa hapa.
Sio Zitto tu hata Dr Slaa alikiri hilo kwenye clip. Haka kamchezo walikoanza CHADEMA bila kujipanga kanawaharibia saana na huenda kakaharibu zaidi.
 
Zito anajulikana kuwa ni mtu amabaye anapenda sifa na kujikomba kwa CCM na mafisadi nani hasiyekumbuka alivyo shabkia ununuai wa mitambo mibovu ya umeme toka kwa mafisadi? Si angeamua tu kwenda CCM thats where he belongs.
 
Du!
Ustaadhi, Inaonekana unajua kuliko wanachadema wenyewe!

Ktk safari zake za nje, niliwahi kuonana naye akielezea kuhusu uchumi, demokrasia, nk. Aliweza kujibu vizuri sana kuliko viongozi wengi wa CCM, na Chadema. Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuchuana na JK. Kama Chadema inataka kiwe chama cha upinzani, inatakiwa iwe na watu wasomi kama Zitto.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…