Zitto amkosoe Rais kama kakosea na siyo alete 'no cofidence motion'

Maneno anayosema Zitto kwamba anataka kupeleka Bungeni mswada binafsi hoja ya kutokuwa na imani na rais;Zitto anakuwa mtu ambaye he had gone too far..

Nadhani alisema hatua hiyo itafikiwa tu endapo kuna Watanzania wenzako kadhaa watakufa kwa kukosa chakula kwa sababu Rais kawananga kwamba hatawasaidia lolote kwa kuwa hao Wadanganyika walipaswa waote kwamba kutakuwa na ukame na hivyo walime mazao yanayohimili ukame
 
Soma tena hoja yake, siyo njaa tu ametaja na mambo mengine kadhaa.
Maneno anayosema Zitto kwamba anataka kupeleka Bungeni mswada binafsi hoja ya kutokuwa na imani na rais;Zitto anakuwa mtu ambaye he had gone too far.

Hata utawala wa Kikwete ulianza na ukame na njaa.
 
Maneno anayosema Zitto kwamba anataka kupeleka Bungeni mswada binafsi hoja ya kutokuwa na imani na rais;Zitto anakuwa mtu ambaye he had gone too far.

Hata utawala wa Kikwete ulianza na ukame na njaa.

too far ndiyo wapi??

nyie mkosoeni huyo rais ila Zitto kaamua kumkosoa na kupeleka motion ya kutokuwa na imani naye kwasababu wote tunaona nchi inaenda kombo kwa mambo ya ajabu ajabu yanayotendwa na taasisi hiyo.
 
Redemption Song...
 
Attachments

  • 2Q==(5).jpg
    2Q==(5).jpg
    5.2 KB · Views: 44
Sijawai kumsikia akisifia juhudi za rais kwenye kuboresha elimu, huduma za afya na ufisadi...mnyonge mnyongeni ila hakiyake mpeni
Unatakiwa kufafanua elimu imeboreshwaje, huduma za afya ni wapi leo ziko bora tofauti kabisa na miaka miwili au zaidi iliyopita? Ufisadi unautafsiri vipi mpaka useme kuna juhudi za msingi zimefanyika? Hii ya kuzuia posho na mianya mingine ni fraction tu lakini ufisadi mkubwa unaoendelea kulitesa taifa ameupiga chenga na kuukwepa kwa kigezo cha makaburi yasiyoweza kufukiwa endapo yatachimbwa.
 
Sijawai kumsikia akisifia juhudi za rais kwenye kuboresha elimu, huduma za afya na ufisadi...mnyonge mnyongeni ila hakiyake mpeni

Huduma za afya na elimu zimeboreshwa?mwenzetu unaishi wapi?huo ufisadi upi mbona tunapigwa hela kama kawa acheni nadharia bado safari ni ndefu uku mtaani vifo vya kukosa huduma za afya bado ni sehemu ya maisha yetu.
 
Back
Top Bottom