RaisMarangu
Senior Member
- Oct 18, 2013
- 124
- 37
Zitto ni kanda mbili za chooni kumfanyia vituko Kamanda kilewo ni katika kujaribu kupooza ishu zake za kusaliti chadema ,huwezi ukawa unawekewa pesa na kina kimei kwenye account zake atueleze hizo pesa ni za nini pili ni mchoyo shibuda na upimbi wake anrushiwa tigo pesa laki moja inamfanya aropoke kama mwehu,tatu atueleze kwenye hotel ya golden tulip alikuwa anafanya makubaliano ya kusaliti chama kwa kuahidiwa mamilioni ambayo atakutanishwa na kibosile wa CRDB Bank ,nne dolla elfu 20 ambazo zilitumwa na mwanamama mjerumani kila mwezi kwa west union ni za shughuli gani,zitto tumekuchoka nenda zako