TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,285
- 27,977
THE BIG SHOW said:Lol,
Nimecheka sana,eti zitto apime kina cha maji cha yericko?
Acha kumkejeli yericko,hastahili kejeli kwa sasa huyu mpiga ripu,anastahili kuhurumiwa tuh,
We unadhan huyu wa kupoteza muda wa watu??huyo ni tapeli tuh thats why hata MODS WAMEAMUA KUMPOKONYA VERIFICATION ID YAKE
Sikujua kuwa huko namna hii Ara Sanga wa Bongo, Yericko hajapokonywa verification ID yake....Ebu nikuelekeze ilipo.
Nenda kwenye post yoyote aliyoweka hapa jamvini, mfano post namba 72 ya uzi huu. Upande wa kushoto mwa post hiyo kuna picha ya Yericko, upande wa kulia wa picha ya Yericko kuna nembo ina rangi ya njano katikati imeandikwa "JF Gold member". Chini ya Nembo hiyo kuna ka-mkia kana rangi ya bluu. Ka-mkia hako kana alama ya vema (V)...Alama hiyo ya Vema ndiyo inayomtambulisha Yericko Nyerere bado ana 'verified ID' ndani ya JF.
THE BIG SHOW =Arap Sang wa Bongo....leo ndiyo nimeongeza ushahidi mwingine kwa nini umeacha kushughulikia suala la Gesi isitoke huko Mtwara na kuwaacha watanzania wanaoishi huko (Mtwara) wakieendelea kulalamika.