mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,770
- 4,658
Huyu jamaa mara nyingine huwa simulewagi kabisa, nahisi anamaanisha kuwa katiba haipatikani kwa kuandamana. Kwa mtazamo wangu kwa Zitto katiba mpya sio muhimu kwa sasa kwa kuwa hajafikisha umri wa kugombea urais na ameishaprove kuwa hachakachuliki katika ubunge baada ya kushinda mara mbili. Na hata wenzie walipotoka bungeni siku ile JK anazindua bunge yeye alionekana kuwaponda. Lets wait and see but the guy is very controversial.
Hili jambo haliwezi kuingia kichwani kwa Chama cha Upinzani kama CUF kufuata kile ambacho Kamati Kuu ya CCM imewaamulia, Unless iwe CC (CCM) inawafanyia kazi vyama vingine vya siasa kama CUF, TLP na UDP. Maana hii agenda ya kukutana na rais ni ya CDM kumwonyesha ni wapi ambapo hawaridhiki nako na mchakato unaoendelea. Kwao CUF, TLP na UDP mpaka sasa hawana tatizo na kilichofanyika. Sasa nao wanapelekwa kumwona rais kwa kilio gani walichonacho juu ya huu Muswaada uliopitishwa na Bunge? Kama wakikubali kwenda itakuwa na maana moja tu, kwamba sasa wanafanya kazi kwa maagizo ya CCM na si kwa utashi wao. Je bado vina sifa ya kuendelea kuitwa vyama vya Upinzani kama vinafanya kazi kwa maagizo ya CC ya CCM?CCM wanawasemea vyama vingine hasa vile ambavyo wana hisa navyo!
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
naona kama MTM kafunguka vilivyo. Mi nadhani haina tofauti na kauli ya JMK aliposema hakukutana EL barabarani. Ama Julius Nyerere aliposema,'I can't leave my country going to the dogs!'.Pengine sikunukuu neno kwa neno,lakini kauli hiyo iliwachanganya wengi na kufikia kuhisi vyama vya ushindani kama si upinzani vimetukanwa na Rais mstaafu.. Kifupi bila kufanya analytical thinking,lazima utakuwa na conclusion tofauti na inayofanana na itikadi yako.
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
Haya maswala ya kurukia hoja za vyama vyingine yanaigharimu CCM, Institution yoyote ikiwa na msemaji kilaza mara nyingi huwa anareflect madudu ya viongozi wake wanaomtuma kunena anayoyanena.Naamini haya anayoyanena Nape kwa kicheko na tabasamu usoni, moyoni mwake huwa na huzuni coz anajua hayakubaliki na ni style za enzi za TAA.
Fikra zao ni za kisanii zaidi!!!!!!!!!!Tatizo la magamba hakuna watu wanaofikiri kwa kina. kila mtu anafikiria kwa umbali na ujazo wa tumbo lake tu. hili ndo tatizo kubwa linalowatafuna magamba kwa sasa. kila mtu ameacha kufikiri kwa kutumia ubongo wake........wanavizia nani kaongea nini na nafasi yake ktk kufanikisha matarajio ya matumbo yao ni ipi, basi kila atakaloongea watalifuata bila ya kujali ubaya wake kwa jamii nzima.
Mimi nadhani somo la kiswahili linabidi liwekewe mkazo tena darasani.... Hili neno - Kkatiba haipatikani barabani, ni lugha ya kawaida kabisa ktk matumizi likimaanisha katiba haidondoki ikaokotwa - leo watu mnashindwa hata kuelewa jambo dogo kama hilo ila kwa tafisri zenu.. hakika ndio maana vijana wengi siku hizi mtihani wa lugha yao wenyewe hufanya vibaya sana.
Jamaa mmoja alinichekesha kwa kusema CCM wanadhani ukiwa CCM basi umepewa excuse ya kufikiriTatizo la magamba hakuna watu wanaofikiri kwa kina. kila mtu anafikiria kwa umbali na ujazo wa tumbo lake tu. hili ndo tatizo kubwa linalowatafuna magamba kwa sasa. kila mtu ameacha kufikiri kwa kutumia ubongo wake........wanavizia nani kaongea nini na nafasi yake ktk kufanikisha matarajio ya matumbo yao ni ipi, basi kila atakaloongea watalifuata bila ya kujali ubaya wake kwa jamii nzima.
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?