Zitto alonga

Simuamini kabisa Kabwe, ni mafiki sana.............. TUNATAKA MAANDAMANO period.:embarassed2:

Dhambi zingine ni za kujitakia,
Hakuna mahali Zitto ameonyesha kwamba hataki maandamano, watu wametafsiri wanavyotaka wenyewe, mtendeeni haki hata kwa dakika moja wakuu.
kwa nini hatujifunzi kukubaliana kutokubaliana? huu mfumo wa chama kimoja umetuathiri akili zetu tunataka kufanya kila kitu kama wao.
 
Kwa uelewa wangu Katiba haipatikani "barabarani" Ina maana katiba haiokotwi ikiwa tayari bali ni lazima wananchi wakubaliane. Yaani Mwafaka. Mwafaka waweza kuja kwa hiari au kwa kulazimisha. Sasa njia za kulazimisha zipo nyingi mojawapo ni maandamano. So hata muandamane namna gani at the end lazima mkae, mjadiliane na kuafikiana.

Chadema wameomba kukutana na JK kama Rais na si kama M/kiti wa CCM na wameomba kama Chadema na si kama Wapinzani. Hivyo wana haki ya kukutana na Rais kama Chadema na si kama wapinzani. NCCR ambao nao walipinga labda bado wanatafakari hatua na njia za kuchukua. Zaidi ya Chadema na NCCR, hakuna chama kingine cha upinzani kilichopinga. Hivyo wakamuojne Rais kwa lipi wakati waliunga mkono mswaada?

Appointment iliyoombwa niya Chadema na hivyo basi hawastahili kuwaunganishwa na chama kingine na endapo wataunganishwa na chama kingine, Chadema wana haki ya kukataa mazungumzo hayo.
 
Katika siasa hizi hata katibu wa chama anaweza kumsemea raisi bila kujua kuwa nafasi ya mwenyekiti wa chama fulani iahusika tu kwenye chama husika.rais kama rais ana wasemaji wake husika na hiyo ipo kwenye katiba .tusichanganye siasa na sera.
 
"Watakwenda, watarudi. Hawana mwingine wakumlilia kwa yao ,hawana mwingine wakuomba yao yatimie isipokuwa serikali ya chama cha mapinduzi, ambayo mie ndo rais wake"
Jakaya Kikwete 18-11-2010

Serikali ni ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siyo sahihi kusema " Serikali ya CCM". CCM imepewa jukumu la kuongoza tu; Haikupewa Haki miliki ya nchi hii.
 
Ni ajabu kuwa suala la Katiba mpya nalo limeshageuka kwua malumbano ya kisiasa. kama tunafanya hivi wakati wa mwanzo wa mchakato, si tunaanza vibaya? Hivi kweli tutaweza kuandika katiba inayokidhi haja?
 
Zitto nafikiri bado yuko kwenye maruweruwe ya madawa ya usingizi wakti akifanyiwa operesheni kule India!
Katiba nyingi duniani zimepatikana kwa MAANDAMANO. Watu walipinga mfumo fulani mahali fulani na kukafanyika mageuzi yaliyopelekea kuundwa ka Katiba Mpya
.

Tuchukue mfano rahisi tu wa Baba wa Demokrasia duniani. The USA Constitution:

Shays' Rebellion
was an armed uprising in central and western Massachusetts (mainly Springfield) from 1786 to 1787. The rebellion is named after Daniel Shays, a veteran of the American Revolutionary War.
The rebellion started on August 21, 1786, over financial difficulties and by January 1787, over one thousand Shaysites had been arrested. A militia that had been raised as a private army defeated an attack on the federal Springfield Armory by the main Shaysite force on February 3, 1787, and five rebels were killed in the action.
In the aftermath, fear spread that the American Revolution's democratic impulse had gotten out of hand. This fear, combined with the lack of institutional response to the uprising, energized calls to reevaluate the Articles of Confederation and gave strong impetus to the Philadelphia Convention which began on May 17, 1787, which created the United States Constitution.

Shays' Rebellion - Daniel Shays organized farmers throughout New England to protest legislation that increased taxes and demanded immediate debt-repayment. When the state legislature refused to respond, Shays and his armed followers closed the courts in western Massachusetts in protest of foreclosed properties. The rebellion came to a head when Shays was defeated while trying to seize a federal arsenal of weapons in Springfield, Massachusetts, on January 25, 1787. This rebellion demonstrated the weaknesses of the Articles of Confederation, and convinced many states of the need for a stronger central government

Upinzani na maandamano kama haya ya Bwana Daniel Shay na wenzake yalipelekea kufanya mageuzi kwenye Katiba ya Marekani.
Sasa Zitto anaporopoka kuwa KATIBA HAIPATIKANI BARABARANI ni ufinyu wa mawazo na uvivu wa kufikiri. Yeye HAWEZI KUWA JUU YA CHAMA. He is a nut!

we hujui maandamano ni fujo tu.wengine hatupendi maandamano.kwa hapa tanzania wakitoka wanatoka watu wawili sasa hayo maandamano kupoteza muda tu tushindwe kuingiza pesa ya mkate wa kila siku wengine si ni vibarua nifanye maandamano niache watoto wanalia njaa hapo sijapigwa risasi ya mguu hao cdm watakuja kunitibu. Kama si wataniacha niteketee. Maandamano ni matokeo ya muafaka wawananchi wote wakijumlisha vyama vyote asasi mbalimbali na mashirika hawa wote wakifikia muafaka hakika hata serikali itakuwa imetikisika
 
WanaJF,

Suala la katiba sio la mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu ,ni la watu wote.Katika kutaka matakwa yenu(yetu) yatimizwe katika mchakato huu ni lazima tutumie mtindo wa debate lakini kukiwa na background ya vitisho hasa unapokabiliana na utawala kama huu tulio nao.Siku zote katika diplomasia kuna millitary background.

Na kama tukishindwa katika mchakato wa debate,au tusiposikilizwa ni lazima tutumie more coercive measures kudai haki yetu ya kikatiba na kidemokrasia, ni lazima tutumie movement tena radicals zaidi ku-demand tunachotaka.Nitoe wito kwa vijana kuwa tayari kudai haki na maslahi yetu kwenye mchakato huu wa katiba.Bado tuko mbioni kuasajili chombo kinachoitwa Youths Patriotic movement kwa ajili ya kuangalia maslahi ya vijana bila kujali itikadi zetu.

I do believe,Since the favorable solution of the people's future require a national attitude on the part of the broad masses of our people, this must be the highest, mightiest task of a movement whose activity is not intended to exhaust itself in the satisfactory of being just a national organisation, but which must examine all its commissions and omissions solely with a view to their consequential effects on the goal.

The soul of our people can only be won, if along with carrying a positive struggle for the movement's goal and our people's well being, we destroy the opponents of our struggle. The people at all times must see their own right in our struggles and ruthless attack on the opponents of our struggle (all agents of bad governance and irresponsible behaviour in our national life) who must become a common foe. To the masses, renouncing the destruction of our enemy seems unthinkable. The broad masses are only a piece of nature and their sentiments does not understand the mutual handshake of people who claim that they want the opposite thing.

They can only follow the activities of the movement and must be guided and motivated rightly at all times. The reverse of our struggle must at all times be painted a common enemy to the masses in black and white.. Our movement therefore, must do everything on behalf of the masses without immediate gain. The masses must be the only beneficiary of our task with or without appreciation. On the long run, their hearts will be won over, at which point they must have been nationalised and the powers they possess utilized to effect the change we all desire.

All great questions of the day are questions of the moments and represents only consequences of definite causes. The masses can hardly be rational. All activities must be clearly of immediate benefits to them; while our sacrifices as a movement will be for our nation's tomorrow. Our movement, and each of us must be the intelligent Sacrificial Lamb who is out to midwife the birth of our new Tanzania

Watanzania na hasa vijana,tutafakari na tujitolee bila woga tuipiganie nchi yetu tutafute haki kwa njia ya amani,tujenge hoja itakaposhindiukana kwa hila tusisite kubadilisha mfumo wa kudai haki yetu.Tusiingie kwenye mitego ya kugawanyika kiitikadi.Tuache kujiingiza kwenye hoja zitakazotumia nguvu zetu nyingi bila tija katika kujadili watu au kurithi maadui wa watu.Tuungane kwa pamoja,ingawa njiani tutakumbana na vikwazo vingi na usaliti miongoni mwa watanzania wenzetu ambao at the end wao na familia zao watanufauka na matunda yatokanayo na mapamabno yetu.tutangulize mapambano ya fikra mbele.

Rais Kikwete akifanya mchezo,hatakuwa sehemu ya historia ya kuwapa katiba mpya watanzania.Tutafikia hatua serikali ya mpito ikachukua nafasi ya kuratibu mchakato wa katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki chini ya katiba mpya.Atafakari sana!



 
Just make broad analysis and interpretation and you will get the answer! Constitution making is a process that need consensus! Kama taratibu zote zingekuwa zimefuatwa watu wasingekuwa na haja ya kuingia barabarani kuandamana! Therefore it is after violation of some constitution making procedures being violated by the rulers that is why people are wishing to get into steets since "Riot is language of unheard"
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
 
Chadema bila Zito inawezekana. Hakuna aliye zaidi ya chama kwani chama ndio constituency ambayo inawapa sehemu ya kuleta agenda zao. Bila chama agenda zao zitakuwa hazina masafa ya kupelekea kwa wenye nchi
 
Chadema bila Zito inawezekana. Hakuna aliye zaidi ya chama kwani chama ndio constituency ambayo inawapa sehemu ya kuleta agenda zao. Bila chama agenda zao zitakuwa hazina masafa ya kupelekea kwa wenye nchi


Our people will not be raised to the framework of the national community via feeble scenes of fraternisation but by a conscious raising of our social and cultural situation until the most serious differences may be viewed as bridges.Let us refrain from concentating our efforts and emotions towards individuals,let us not trivialise issues.Perharps ingekuwa heri zaidi tukajadili role ya taasisi na wadau au wabia wetu katika kuhakikisha tunapata katiba mpya

Mtu mmoja hawezi dictate ni njia ipi tufuate,kila mtu anaweza kutoa mawazo yake.Tujenge msingi imara wa haki kwa ktumia vigezo vya haki.Viongozi wa vyama vya siasa na serikali wanatupeleka hivi kwa kuwa wanajua mentality zetu,pia baadhi ya viongozi wa dini wanatupeleka na kutuamulia mambo mengi na mustakabali wetu kama waumini kwa kuwa wanajua mentality zetu.Let us wake up !
 
Kiukweli inachanganya unaweza kusema labda anaponda maandamano maana watu wakitataka kupinga kitu utasikia tutaingia barabarani lakini nadhani alichokusudia Zitto ni kuwa katiba haiokotwi au kupatikana bila utaratibu wa maridhiano.
Kuhusu la kusemea vyama vingine hata mimi hilo linanishangaza sana, iweje CCM wakurupuke kutaka rais asionane na CDM pekee wakati walioomba na kupinga ni CDM?

Exactly! Hapo Zitto alitumia neno "barabarani" katika relativity context
 
Kwa hilo la 'katiba haitopatikana barabarani', na mimi ningeomba Zitto alifafanunue vizuri anamanisha nini
 
"Watakwenda, watarudi. Hawana mwingine wakumlilia kwa yao ,hawana mwingine wakuomba yao yatimie isipokuwa serikali ya chama cha mapinduzi, ambayo mie ndo rais wake"
Jakaya Kikwete 18-11-2010

Hakuna mwingine wakati siku zako za kukaa mjengoni zinahesabika Mr
 
Anamaanisha CDM iachane na upuuzi wa MAANDAMANO ya kijinga.

Badala yake wahamasishe wafuasi wao wafanye kazi kulijenga taifa letu.

Hili taifa hapa lilipofika haliwezi kujengwa tena zaidi ya kubomolewa na kuanza kujengwa upya & a day will come & must come
 
Zito akipewa uwenyekiti wa chadema, kitapoa na kufa kama NCCR Mageuzi. Just a warning from the wilderness...

Na ndo njea magamba walitaka kumtua zito achukue wenyekiti kisha wakitambalizie mbali cdm na wameshindwa sasa wao ccm ndo wanatambalizwa soon
 
Nape ndiyo msemaji wa Magamba na hana tofauti na aliyekua msemaji wa "Hayati" Sadam Hussein pale Iraq.
Busara ya kuonana na Rais wa nchi ilianzia chama makini chenye nia ya dhati ya ustawi wa taifa hili. Nini kitakachowasilishwa na hivyo vyama vingine wakati vimeunga mkono mjadala uliowasilishwa na serikali inayotawala sasa? Tofauti ya vyama hivyo na kinachotawala iko wapi mpaka wahitaji tena kukutana na Raisi kwa mgongo wa CDM? Kama kweli Jamaa wa kijani wanataka kuendelea kuwepo wavunje ndoa yao haraka na huyu dogo.

Dogo yupi
 
Back
Top Bottom