Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
hahaha ayatola kwishney babujiii
Naungana nawewe hakuna alipozomewa, hawa kakundi kadogo wamejipanga na kuchukua video yao ya simu hata sauti zao hazisikikiMtoa mada umekula kweli mchana? mbona sioni hao wanaozomea bali nasikia watu wakiongea katika makundi madogo madogo.Hivi unajua maana ya kuzomea?
CHADEMA WANAWEWESEKA
Baada ya ziara ya ACT Mbeya chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema chazidi kuweweseka huku ngome zao zikiwa zinavunjwa kwa siasa na hotuba safi za wana ACT.
Chadema wametengeneza kipande cha video kinachoonesha watu kuzomea, ila hakioneshi anazomewa nani ingawa wao wanadai ni Zitto.
Kwa mujibu wa Afande Sele ni kwamba hawakuwa na ratiba ya mkutano Tunduma hivyo yeye na Zzk hawakushuka ndani ya gari, kauli ambayo imethibitishwa na wana ACT wengine waliokuwa katika msafara huo.
Mwanahabari wetu aliamua kuwatafuta wakazi wa Tunduma mkoani mbeya na kuwahoji juu ya hili.
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahenge Regan anadai wao ndio waliosimamisha msafara na kuomba wapatiwe hata neno moja, ndipo mwenyekiti wa ACT na katibu mkuu waliposhuka na kuongea machache kisha wakaondoka. Alipoulizwa kuhusu zomea zomea anasema kuna vijana wachache wa Chadema wakiongozwa na kada maarufu wa Chadema anayejulikana sana kwa jina Mdude Chadema ndio waliokuja na kutaka kuharibu ila Msafara ulikua ushaanza kuondoka.
Ikumbukwe mkakati wa zomea zomea Mbeya uliratibiwa na Mbunge wa Mbeya mjini Mbilinyi akisirikiana na Mary Mwanjerwa wa viti maalumu Ccm.
Kiongozi wa chama ACT Zitto amedai kutokushuka Tunduma na video hizozinazosambazwa ni muendelezo wa siasa chafu za Chadema.
Ikumbukwe pia moja ya mtihani waliopewa watangaza nia na wabunge wa Chadema ni kuhakikisha Ziara za ACT hazifanikiwi ili wapitishwe na chama kuelekea Uchaguzi mkuu, hili limeelezwa na kada mmoja wa Chadema aliyeombwa kuhifadhiwa jina kwa usalama wake.
Wananchi wa mkoani Mbeya wamesikitishwa sana kuhusishwa na uhuni huu unaoratibiwa na mbunge wao na kuonesha kuchoshwa na tabia zake za kuwafanya vijana wao misukule huku yeye anatengeneza pesa.
Mwandishi Huru
Mbeya
Zitto mwenyewe kajua kazomewa na safari yake ya kisiasa ameishaiona ugumu wake atatumia njia zote kujitetea kuomba ahueni lakini atabaki msaliti mpaka kifo chake mwisho wake wa kisiasa ulishafika siku alipo amua kuwa puppet wa CCMNaungana nawewe hakuna alipozomewa, hawa kakundi kadogo wamejipanga na kuchukua video yao ya simu hata sauti zao hazisikiki
zitto eeee, skia nikwambie....kwa umri wako bado una nafasi. kufanya kosa ni kosa lakini kurudia kosa ni kosa kubwa sana. fanya maamuzi magumu mdogo wangu, watafute wenzio cdm, waombe msamaha rudi kwenye chama ukapige kazi. kweli zitto nakuambia. otherwise kaka you are killing yourself politically. mbaya zaidi ni pale unaposhambulia upinzani badala ya kushambulia ssm. ujue ssm nako una maadui lukuki ambao mashambulizi yako dhidi yao bungeni yalivuruga sana mishe zao. usalama wako ni ndani ya cdm na ukawa kaka vinginevyo una hali mbaya sana. usije ukashangaa hata ubunge kighoma vijijini au mjini ukakosa na ssm ndo wapanga mikakati wakubwa kuhakikisha hurudi bungeni. maadui zako kisiasa watakuwa wengi sana. yaan hawa kina ritz ndo kabisa wanataman ufe hata leo, usione wanakushabikia kinafki hapa...labda kama umeamua kupambana na upinzani kiukweli hapo utawaona kina ritz wa maana. vinginevyo basi amua kujilipua bomu kabisa, jiunge na ssm wakakumalizie mbali vizuri.
ulikosea lakin tunaamini una uwezo. kipaji chako kinapotea bure kwa kudanganywa na kina mwigamba na kitila. rudi bomani kaombe msamaha. nakuchukia sana kwa uamuzi wako wa kugombana na upinzani tanzania, lakini pia nakusikitikia kwa hali hii, nakuonea huruma sana kutoka moyoni nikikumbuka kazi zako bungeni, wewe ndo ulinifanya niifikirie siasa mara mbili mbili na sasa mimi ni mwanasisa kamili. ulikuwa role model wangu zitto....
Zitto nani amekulogaaaaaaaa, zitto umekula maharage ya wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, rudi kundini mdogo wangu, kaombe msamaha, nina uhakika Watanzania wanamapinduzi watakuelewa. Jifunze kwa kina Wassira,....walipotea lakini baadaye walirudi. nje ya ssm wasirra asingekuwa alipo leo, nje ya cdm zitto you are just lost my young bro.
hivi kweli wewe zitto of all the people leo hii umekuwa ni wa kugombana na upinzani Tanzania badala ya kugombana na ssm????????!!!!!!! kweeeeli zitto?????!!!! unajipoteza kamandaaaa, daaaah!!! inaniuma sana!!!
inauma sana. mtu aliyekuwa rafiki mkubwa wa wananchi kufumba na kufumbua keshajigeuza adui mkubwa wa wananchi. cdm nawaombeni huyu bwana akijirudi mpokeeni bila kinyongo jamani. japo msimpe nafasi ya uongozi lakini akirudi akaomba msamaha apokelewe pliiiz. mtoto akinyea mkono hatuukati jamani, zitto rudi kaka. nimeumia sana.Zitto mwenyewe kajua kazomewa na safari yake ya kisiasa ameishaiona ugumu wake atatumia njia zote kujitetea kuomba ahueni lakini atabaki msaliti mpaka kifo chake mwisho wake wa kisiasa ulishafika siku alipo amua kuwa puppet wa CCM
CHADEMA WANAWEWESEKA
Baada ya ziara ya ACT Mbeya chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema chazidi kuweweseka huku ngome zao zikiwa zinavunjwa kwa siasa na hotuba safi za wana ACT.
Chadema wametengeneza kipande cha video kinachoonesha watu kuzomea, ila hakioneshi anazomewa nani ingawa wao wanadai ni Zitto.
Kwa mujibu wa Afande Sele ni kwamba hawakuwa na ratiba ya mkutano Tunduma hivyo yeye na Zzk hawakushuka ndani ya gari, kauli ambayo imethibitishwa na wana ACT wengine waliokuwa katika msafara huo.
Mwanahabari wetu aliamua kuwatafuta wakazi wa Tunduma mkoani mbeya na kuwahoji juu ya hili.
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahenge Regan anadai wao ndio waliosimamisha msafara na kuomba wapatiwe hata neno moja, ndipo mwenyekiti wa ACT na katibu mkuu waliposhuka na kuongea machache kisha wakaondoka. Alipoulizwa kuhusu zomea zomea anasema kuna vijana wachache wa Chadema wakiongozwa na kada maarufu wa Chadema anayejulikana sana kwa jina Mdude Chadema ndio waliokuja na kutaka kuharibu ila Msafara ulikua ushaanza kuondoka.
Ikumbukwe mkakati wa zomea zomea Mbeya uliratibiwa na Mbunge wa Mbeya mjini Mbilinyi akisirikiana na Mary Mwanjerwa wa viti maalumu Ccm.
Kiongozi wa chama ACT Zitto amedai kutokushuka Tunduma na video hizozinazosambazwa ni muendelezo wa siasa chafu za Chadema.
Ikumbukwe pia moja ya mtihani waliopewa watangaza nia na wabunge wa Chadema ni kuhakikisha Ziara za ACT hazifanikiwi ili wapitishwe na chama kuelekea Uchaguzi mkuu, hili limeelezwa na kada mmoja wa Chadema aliyeombwa kuhifadhiwa jina kwa usalama wake.
Wananchi wa mkoani Mbeya wamesikitishwa sana kuhusishwa na uhuni huu unaoratibiwa na mbunge wao na kuonesha kuchoshwa na tabia zake za kuwafanya vijana wao misukule huku yeye anatengeneza pesa.
Mwandishi Huru
Mbeya
inauma sana. mtu aliyekuwa rafiki mkubwa wa wananchi kufumba na kufumbua keshajigeuza adui mkubwa wa wananchi. cdm nawaombeni huyu bwana akijirudi mpokeeni bila kinyongo jamani. japo msimpe nafasi ya uongozi lakini akirudi akaomba msamaha apokelewe pliiiz. mtoto akinyea mkono hatuukati jamani, zitto rudi kaka. nimeumia sana.
zitto najua wewe ni nusu wa kizazi cha analog na nusu dotikom. Unamkumbuka Sikiri? alifanya kosa kama lako lakini alifikia makhali akatafakariii kisha akajisemea moyoni....hivi kweli jamani!!!!!!...kisha akajiimbia shairi hili hapa chini...
Sikiri mimi maskini,
Uvivu wangu nyumbani,
Ukiwa huu njiani,
Nakufa hapa kwa nini?
Sadiki sasa ashiba,
Chakula kingi kwa baba,
Nirudi tena kwa baba,
Nakufa hapa kwa nini?
.............................. ...............
.................
Naomba radhi nimekosa,
Nitakuwa mtoto mwema sasa,
Shambani tena sitakosa,
Baba na mama nisameheni.
Nitalima kama Sadiki,
Nitalima wala sichoki,
Na nyumbani tena sitoki
Baba na mama nisameheni.
imba hilo shairi hapo juu zitto...
pole kaka!!
Zitto mwenyewe kajua kazomewa na safari yake ya kisiasa ameishaiona ugumu wake atatumia njia zote kujitetea kuomba ahueni lakini atabaki msaliti mpaka kifo chake mwisho wake wa kisiasa ulishafika siku alipo amua kuwa puppet wa CCM
alijifukuza akidhani itakuwa raisi kwake sasa atazalishwa mimba manake kakosa hata nguvu za kusimama majukwaani sauti inatetemeka anawaogopa wananchi huyu ni mtu alikuwa anasukumwa kwenye magari baada ya kuhutumbia nyakati zile ataziota mpaka siku ya kifo chakeCHADEMA itabidi Zitto awaoe ili mtulie. Mtu mlimfukuza wenyewe. Sasa mmefikia hatua ya kutunga hata video. Mnadhani sote ni wajinga kama nyie mnaonyweshwe viroba?