Katika hii video nimegundua hivi,
1.Wanaopiga kelele ni ka section flani ka watu wasiozidi kumi ambao inaonekana walijipanga(unaweza kusikia mmoja anamwambia mchukua video "kasimamie huku")
2.ZZK yuko distance ya mbali ambako inaonekana mkutano ukiendelea na watu wakisikiliza.
3.Kwa haraka haraka nimemsikia ZZK akisema "tunailaumu serikali kwamba wanatumia mashangingi kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naye anaendelea kutumia kwa hela hizohizo za serikali nani Msaliti?" This is very sensible,unatakiwa upinge kitu sio kwa mameno bali kwa vitendo,ifike kipindi wananchi waamke Chadema ni scam,hakuna mwenye nia ya kweli kutoka Chadema wa kutaka kumkomboa mtanzania,hayo yanajidhihirisha kwa vitendo vyao.