Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Status
Not open for further replies.
Tunansubiri Supreme Leader au Ay.attollah Khamenei a.k.a mwanzo na mwisho wa ACT Tanzania?Wazalendo? aje na Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida aje atuenezee chama chake

Duuh, sijui tumpokeaje tu huyu Msaliti, Yuda Isikariote.....sipati picha, kwa sababu atatukuta na "midomo yetu mirefu" tunamsubiri na bodaboda zetu toka mwanzo wa miji yetu!.

Zitto na ACT Tanzania oyeeeeee!!
 
namhurumia A.hyatolah khomenee
 
Mimi mbona sijaona mzomeo wenyewe huo,nimejaribu hadi kuvaa miwani sioni bado!!
 
Ndio tabu ya Tecno ya tochi

Hee utakua msichana wewe maana naona umeanza hadi Ku discuss simu utafikiria kama una hisa kwenye simu za bei Kali ,kumbe unategemea tu kuhongwa
 
Hee utakua msichana wewe maana naona umeanza hadi Ku discuss simu utafikiria kama una hisa kwenye simu za bei Kali ,kumbe unategemea tu kuhongwa

Jina lako lina-sound kama vile mnduku, au ndio biashara ya kuuza mnduku inayokuweka mjini??
 
Kama huko ndio kuzomewa basi natamani nizomewe na Mimi. Kikundi kidogo cha watu wanaongea eti wamezomea. ...tehteheteh mbona hamsemi huyo aliyeitikia kweliiii. Acheni propaganda, kama ACT inawapa shida kaombeni msamaha

Hiyo, kweeeli! Kama ya Anna Mghwira
 
Jina lako lina-sound kama vile mnduku, au ndio biashara ya kuuza mnduku inayokuweka mjini??

We inaonyesha upo humu kutafuta mabwana ,mtoto umeshatumika sana scraper
 
Hapa alisema hakua na ratiba.....kifupi hii ndio mbeya usiulize ukubwa wa ndizi uliza bei mjomba

attachment.php
 
Katika hii video nimegundua hivi,
1.Wanaopiga kelele ni ka section flani ka watu wasiozidi kumi ambao inaonekana walijipanga(unaweza kusikia mmoja anamwambia mchukua video "kasimamie huku")
2.ZZK yuko distance ya mbali ambako inaonekana mkutano ukiendelea na watu wakisikiliza.
3.Kwa haraka haraka nimemsikia ZZK akisema "tunailaumu serikali kwamba wanatumia mashangingi kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naye anaendelea kutumia kwa hela hizohizo za serikali nani Msaliti?" This is very sensible,unatakiwa upinge kitu sio kwa mameno bali kwa vitendo,ifike kipindi wananchi waamke Chadema ni scam,hakuna mwenye nia ya kweli kutoka Chadema wa kutaka kumkomboa mtanzania,hayo yanajidhihirisha kwa vitendo vyao.

Asante.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli ni kwamba Zitto alizomewa mbeya, tena vibaya sana, hata ukijalibu kusikia sauti yake utaona kuwa anajaribu kupaza sauti ili azidi sauti ya wazomeaji inashindikana. Aisee siasa si mchezo. Pole bwana Zitto
 
Baada ya kuziangalia Video hzi mbili ya jana la leo nimejikuta huruma unaniingia.. NINGEKUWA ZITTO Ningeacha kufanya siasa...

Wakati ZZK anahamia ACT waliokuwa wanampromote walikuwa ni vijana wa CCM,Sasa hv wapo busy na kazi za watangaza nia,Ona unavyoumbuka ndugu yangu...
ZITTO najua wewe n msomaji mzuri hapa..ichukulie hii kama feedback badilisha aina ya siasa unayofanya...SASA hv watu wameamka utaendelea kuumbuka tu.
Kuna mtu aliniambia ana video amekurekodi ukipga mizinga wabunge wenzie hotelini dodoma..itawekwa wazi muda sio mrefu.
 
Hakuwa yeye nyie axheni uongo ni viongozi wengineo waliopita tunduma yeye alikwenda mbeya kuhutubia
 
Katika hii video nimegundua hivi,
1.Wanaopiga kelele ni ka section flani ka watu wasiozidi kumi ambao inaonekana walijipanga(unaweza kusikia mmoja anamwambia mchukua video "kasimamie huku")
2.ZZK yuko distance ya mbali ambako inaonekana mkutano ukiendelea na watu wakisikiliza.
3.Kwa haraka haraka nimemsikia ZZK akisema "tunailaumu serikali kwamba wanatumia mashangingi kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naye anaendelea kutumia kwa hela hizohizo za serikali nani Msaliti?" This is very sensible,unatakiwa upinge kitu sio kwa mameno bali kwa vitendo,ifike kipindi wananchi waamke Chadema ni scam,hakuna mwenye nia ya kweli kutoka Chadema wa kutaka kumkomboa mtanzania,hayo yanajidhihirisha kwa vitendo vyao.
Zitto kafa kisiasa anakwaruza sauti kwa sababu ya stress he will never ever command an audience he used to mobilise and he never the respect he gained from wananchi as when he was in Chadema pole zake wanyiramba Kitila na Mwiguru wanacheka jino la pembeni laana ya mama yake inamwandama
 
Zitto asubiri kidogo tu, kuanzia mwezi September kampeni zitapokuwa zimeanza kupamba moto ndipo atajua kuzomewa maana yake ni nini. Sasa watu wanamshangaa tu na asijidanganye kwamba anaungwa mkono.
 
CHADEMA WANAWEWESEKA

Baada ya ziara ya ACT Mbeya chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema chazidi kuweweseka huku ngome zao zikiwa zinavunjwa kwa siasa na hotuba safi za wana ACT.

Chadema wametengeneza kipande cha video kinachoonesha watu kuzomea, ila hakioneshi anazomewa nani ingawa wao wanadai ni Zitto.

Kwa mujibu wa Afande Sele ni kwamba hawakuwa na ratiba ya mkutano Tunduma hivyo yeye na Zzk hawakushuka ndani ya gari, kauli ambayo imethibitishwa na wana ACT wengine waliokuwa katika msafara huo.

Mwanahabari wetu aliamua kuwatafuta wakazi wa Tunduma mkoani mbeya na kuwahoji juu ya hili.

Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahenge Regan anadai wao ndio waliosimamisha msafara na kuomba wapatiwe hata neno moja, ndipo mwenyekiti wa ACT na katibu mkuu waliposhuka na kuongea machache kisha wakaondoka. Alipoulizwa kuhusu zomea zomea anasema kuna vijana wachache wa Chadema wakiongozwa na kada maarufu wa Chadema anayejulikana sana kwa jina Mdude Chadema ndio waliokuja na kutaka kuharibu ila Msafara ulikua ushaanza kuondoka.

Ikumbukwe mkakati wa zomea zomea Mbeya uliratibiwa na Mbunge wa Mbeya mjini Mbilinyi akisirikiana na Mary Mwanjerwa wa viti maalumu Ccm.

Kiongozi wa chama ACT Zitto amedai kutokushuka Tunduma na video hizozinazosambazwa ni muendelezo wa siasa chafu za Chadema.

Ikumbukwe pia moja ya mtihani waliopewa watangaza nia na wabunge wa Chadema ni kuhakikisha Ziara za ACT hazifanikiwi ili wapitishwe na chama kuelekea Uchaguzi mkuu, hili limeelezwa na kada mmoja wa Chadema aliyeombwa kuhifadhiwa jina kwa usalama wake.

Wananchi wa mkoani Mbeya wamesikitishwa sana kuhusishwa na uhuni huu unaoratibiwa na mbunge wao na kuonesha kuchoshwa na tabia zake za kuwafanya vijana wao misukule huku yeye anatengeneza pesa.

Mwandishi Huru
Mbeya
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom