Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Status
Not open for further replies.
Hoja ni kuzomewa hayo ya idadi na Umbali aliokuwamo hukuondoi Ukweli kuwa alizomewa,

Pia kauli zake Dhidi ya chadema wakati wakuzomea ni dhihirisho la kilichopelekea yeye kuzomewa.
Hoja sio kuzomewa mkuu hoja ni nani Kazomea,ndio mana nimejaribu kuangalia je waliozomea ni wananchi walioenda mkutanoni? jibu ni big NO,waliozomea ni kama nilivoelezea hapo juu,hilo la kauli juu ya Chadema anakupa mfano wa jinsi gani watu walivo wazalendo wa kinafki,unamsema Ridhiwani anatembelea shangngi na wewe unatumia hilo hilo,unamsema Lucinde anachukua posho na wewe unazichukua huku ni kututania Watanzania
 
hoja sio kuzomewa mkuu hoja ni nani kazomea,ndio mana nimejaribu kuangalia je waliozomea ni wananchi walioenda mkutanoni? Jibu ni big no,waliozomea ni kama nilivoelezea hapo juu,hilo la kauli juu ya chadema anakupa mfano wa jinsi gani watu walivo wazalendo wa kinafki,unamsema ridhiwani anatembelea shangngi na wewe unatumia hilo hilo,unamsema lucinde anachukua posho na wewe unazichukua huku ni kututania watanzania

kwahiyo watu waliozomea walikua nyumbani sio mkutanoni???
 
kwahiyo watu waliozomea walikua nyumbani sio mkutanoni???
Umeshaacha hoja unalazimisha kosa japo nilijua utaelewa,ok nikuwekee hivi 'Waliozomea ni wote walikuja mkutanoni?',Jibu ni big NO waliozomea hawazidi 10 out ou nearly 1000
 
hoja sio kuzomewa mkuu hoja ni nani kazomea,ndio mana nimejaribu kuangalia je waliozomea ni wananchi walioenda mkutanoni? Jibu ni big no,waliozomea ni kama nilivoelezea hapo juu,hilo la kauli juu ya chadema anakupa mfano wa jinsi gani watu walivo wazalendo wa kinafki,unamsema ridhiwani anatembelea shangngi na wewe unatumia hilo hilo,unamsema lucinde anachukua posho na wewe unazichukua huku ni kututania watanzania

kwani nani anatoa mashangingi??? Serikali iliambiwa itafute mbadala wa mashangingi lakini hadi leo hawajatafuta sasa wewe badala ya kulaumu serikali unailaumu chadema this is too low mama.
 
Leo ndo nmeamini Kauli ya Ukweli utasimama milele. Hapo juzi nlipopata video ya Zitto Kabwe akizomewa Tunduma, Niliamini ni uzushi uzandiki na Siasa chafu zisizofaa kuigwa hapa Nchini. Hata Zitto aliposema hajawahi kufika Tunduma wala kufanya mkutano kule, na akasema mwenye ushahidi wa picha yake au sauti aiweke hadharani, Kidogo niamini lakini nafsi ikasita kwani najua Muongo haachi uongo kwani Baba wa Taifa alishasema ni sawa na kula nyama ya mtu. Na hapo ndo nikaamini Mbio za sakafuni huishia ukingoni.(Running on the roof finishes at the edge). Ndo nikaamini Mcheza na tope humrukia.

Basi Leo situmii maneno mengi kuelezea wala sitaki Nlete ushahidi kwani sura yake na sauti yake vinasikika. Anasema eti, amefukuzwa CHADEMA kwa sababu alimuambia CAG akakague mahesabu ya Vyama vya siasa ikiwemo CHADEMA ndo maana akafukuzwa. Wahenga walisema Ukiwa muongo basi uwe na kumbukumbu nzuri ya uongo unao usema.

Kipindi Yupo CHADEMA, ilitungwa Sheria ya Kesi za chama zisipelekwe mahakamani bila kusikilizwa na ngazi zote za chama, na ukipeleka kesi Mahakani bila kufuata utaratibu wa CHAMA uliowekwa basi moja kwa moja utakua Umejifukuzisha CHAMA. Na sheria ilipopita alishangilia sana na kujisemea moyoni hakika hii ndo katiba. Hakuthubutu kuipinga popote pale hadi pale yalipomkuta ndo kaanza kutapatapa.

Sasa Mheshimiwa, Kiongozi Mkuu na Wafuasi wako, nataka nijue huyu anaye itwa Msaliti kwenye hii video ni wewe au Sio wewe?

Naaomba msilie, wala kutoka nje ya maada kwa kuongoe Lugha chafu. Msikilize Kiongozi mkuu kisha ongea neno.

Huwa spendi kuongea sana. Twende sasa,
 
Last edited by a moderator:
umeshaacha hoja unalazimisha kosa japo nilijua utaelewa,ok nikuwekee hivi 'waliozomea ni wote walikuja mkutanoni?',jibu ni big no waliozomea hawazidi 10 out ou nearly 1000

hujajibu swali walikua nyumbani au mkutanoni????
 
kwani nani anatoa mashangingi??? Serikali iliambiwa itafute mbadala wa mashangingi lakini hadi leo hawajatafuta sasa wewe badala ya kulaumu serikali unailaumu chadema this is too low mama.
Nisikilize dada yangu,
1.Omba serikali ikupe gari la kawaida,haikataliwi hiyo.
2.Swali Mbowe alifanya hivo katika kuonyesha anakerwa na matumizi ya mashangingi?
 
Mtoa mada umekula kweli mchana? mbona sioni hao wanaozomea bali nasikia watu wakiongea katika makundi madogo madogo.Hivi unajua maana ya kuzomea?
 
zote ww n msaliti huna ishu. koo litaoasuka hilo. wananchi hawadanganyiki. ww n ccm tumekujua .
 
Waha mtakoma kwanini mnaanzisha ukabila kwenye siasa?
 
Si akubali tu alizomewa?Kwa kuzomwewa ni kifo?
Ukipanda mahindi huwezi kuvuna mchicha zitto anavuna alichokipanda.
 
Pole Zitto. Unavuna ulichopanda. Chichidodo!
Mimi niliwahi kusema humu na kumshauri kuwa haita kuwa rahisi kufanya usaliti wa kuuza chama namna hiyo halafu mambo yaendelee kuku nyokea tu.Ona sasa mhe.-------- Khomen unavyo kataliwa.Unapiga kelele kutuliza zomea zomea lakini wapi!Ushauri wa bure jaribu mbinu mpya.Pita nchi nzima omba msamaha kwa Watanzania yaani piga hadi magoti,unaweza kunusuru maisha yako ya kisiasa.
 
Chachu iamuri akili yako ifikiri kwa kasi...ni kwa namna gani sauti ikaonwa na macho?

So hujasikia hzo zomeazomea?

Kuzomea ni kutoa sauti bila mpangilio zikipazwa zaidi ya sauti chanzo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom