Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Status
Not open for further replies.
zitto eeee, skia nikwambie....kwa umri wako bado una nafasi. kufanya kosa ni kosa lakini kurudia kosa ni kosa kubwa sana. fanya maamuzi magumu mdogo wangu, watafute wenzio cdm, waombe msamaha rudi kwenye chama ukapige kazi. kweli zitto nakuambia. otherwise kaka you are killing yourself politically. mbaya zaidi ni pale unaposhambulia upinzani badala ya kushambulia ssm. ujue ssm nako una maadui lukuki ambao mashambulizi yako dhidi yao bungeni yalivuruga sana mishe zao. usalama wako ni ndani ya cdm na ukawa kaka vinginevyo una hali mbaya sana. usije ukashangaa hata ubunge kighoma vijijini au mjini ukakosa na ssm ndo wapanga mikakati wakubwa kuhakikisha hurudi bungeni. maadui zako kisiasa watakuwa wengi sana. yaan hawa kina ritz ndo kabisa wanataman ufe hata leo, usione wanakushabikia kinafki hapa...labda kama umeamua kupambana na upinzani kiukweli hapo utawaona kina ritz wa maana. vinginevyo basi amua kujilipua bomu kabisa, jiunge na ssm wakakumalizie mbali vizuri.

ulikosea lakin tunaamini una uwezo. kipaji chako kinapotea bure kwa kudanganywa na kina mwigamba na kitila. rudi bomani kaombe msamaha. nakuchukia sana kwa uamuzi wako wa kugombana na upinzani tanzania, lakini pia nakusikitikia kwa hali hii, nakuonea huruma sana kutoka moyoni nikikumbuka kazi zako bungeni, wewe ndo ulinifanya niifikirie siasa mara mbili mbili na sasa mimi ni mwanasisa kamili. ulikuwa role model wangu zitto....

Zitto nani amekulogaaaaaaaa, zitto umekula maharage ya wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, rudi kundini mdogo wangu, kaombe msamaha, nina uhakika Watanzania wanamapinduzi watakuelewa. Jifunze kwa kina Wassira,....walipotea lakini baadaye walirudi. nje ya ssm wasirra asingekuwa alipo leo, nje ya cdm zitto you are just lost my young bro.

hivi kweli wewe zitto of all the people leo hii umekuwa ni wa kugombana na upinzani Tanzania badala ya kugombana na ssm????????!!!!!!! kweeeeli zitto?????!!!! unajipoteza kamandaaaa, daaaah!!! inaniuma sana!!!

Yaani miongoni mwa watu waliosema yaloyo ya moyoni ni ww but it is too late, though not such much late! Zitto kinachomwalibia ni kiburi na dharau kwa wakubwa na wadogo. Only those!
 
Last edited by a moderator:
Siasa ndio zilivyo hapo sijaona Zitto alipozomewa km
  • mpiga video hujaenda Jukwaani
  • hujaonesha uwanja wote
  • unajichukulua picha yako na kuzomea mwenyewe
  • na hata mkutano haujavurugika uliendelea km kawaida
hizo ni husda za wana chadema Mbeya kumuogopa Zitto
jipangeni alishawabebe sana sasa kajitenga
acha matusi video ipo wazi kabisa zitto hana hata hadhi ya kuogopwa na wana mbeya kwanza sio jadi yao kuogopa mtu zitto ni irrelevant atazomewa sana ni majibu na faida za mtu msaliti mtu asiyejua kufikiri anayeendeshwa kama robot mtu anaye hang kama zitto mbeya atazomewa tu kama alivyozomewa geita kigoma makambako na shinyanga
 
attachment.php
eti kila mahali wanapozomea zitto hayupo !
 
Vijana wa CDM na viongozi wenu kweli mmeshikwa pabaya sana. Mmeona jamaa anakubalika mpaka kule ambako hamkufikiria sasa mnajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Vijana wa CDM na viongozi wenu kweli mmeshikwa pabaya sana. Mmeona jamaa anakubalika mpaka kule ambako hamkufikiria sasa mnajitekenya na kucheka wenyewe.
huna hadhi kubali yaishe zitto ulikuwa zitto ukiwa chadema usaliti wako unakufanya uwe na stress unatia huruma mwiguru kitila wanyiramba walikuramba akili pole kijana mzee
 
tuendelee kumshauri taratibu jaman, you neva know anaweza akazinduka. umri nao wakati mwingine unachangia haya mambo. zitto nyumban kwake ni cdm, huku kwingine kiukweli ni kina kitila tu wanamzungusha na upofu wake unampoteza tu. kijana wa watu atajichokea siku si zake.

zitto rudi nyumbani, huo ndo wito wangu kwako.

hutaki kuniskiliza acha...
 
huna hadhi kubali yaishe zitto ulikuwa zitto ukiwa chadema usaliti wako unakufanya uwe na stress unatia huruma mwiguru kitila wanyiramba walikuramba akili pole kijana mzee

Kipi kimepungua? Zitto wa CDM amepungukiwa na nini kama ni pakumwagia sera zake za kuwakomboa watanzania bado anapo sasa wataka nini? Duh!! Kweli husda ni ugonjwa usio na tiba.
Wenzenu wanavyeka mapori 2.
 
Kipi kimepungua? Zitto wa CDM amepungukiwa na nini kama ni pakumwagia sera zake za kuwakomboa watanzania bado anapo sasa wataka nini? Duh!! Kweli husda ni ugonjwa usio na tiba.
Wenzenu wanavyeka mapori 2.

laana ya usaliti ni mbaya sana , unateketea huku unajiona !
 
leo nimeamini kweli zitto anawatesa. najua mnajuta kumfukuza. acha sasa mkione cha moto. matumbo yenu yanawaka moto juu ya zitto. na bado.

http://www.youtube.com/watch?v=Sf1PaBhS2Ms iliku ni aibu ya mwaka. Zitto alipo zomewa mbeya mjini, najua atasema sio yeye lakini ushahidi huo hapo juu.
Mods mnaweza ifuta kama mtahisi inawakera kama mlivyo fanya kwenye ile ya Tunduma.Lakini ukweli hauta futika kamwe



hii mbaya sana


Duh tena? Kuna mpambe wake mmoja anaitwa Ludo anasema sio kweli.

Adhabu yote hii ya nini? si arudishe hela za Ccm aachane na siasa?

Ataweka tweet kama jana kuwa hajazomewa na wala hajawahi kufanya mkutano Mbeya .......Usaliti malipo yake ni hapahapa duniani.....

Shetani ni shetani tu.....

Mcubic mambo si mazuri kabisa njoo huku ila uwe mvumilivu

Hivi zito anajitetea? Anajifagilia? AU anajenga chama? Wanaomwelewa nisaidieni.

Zitto siasa imemshinda, namshauri arudi tu nyumbani kigoma akavue migebuka maana hata Ubunge hapati mwaka huu!
 
Last edited by a moderator:
Mm namshangaa Sana Zitto kusema kwamba Mbowe anatumia shangingi Kwa fedha hizo hizo za wananchi Aya basi yeye ni mzalendo wa kweli? Embu tuchambue uzalendo wa Zitto?kumiliki hummer 3 Ndio uzalendo?? Range Rover je na hayo mengine tusiyoyajua
 
Dah!mi.nadhani umri pia ni tatizo sijui!hawa watoto wanajenga hoja za kipuuzi sanaaa!iv unaposema flani kazomewa unaelewa implication yk kwa watu wenye akili zao!!huwezi zomea tu unless unawivu,unachuki binafsi,akili zako haziwez kufikiria mwenyewe,unalishwa pumba na huwezi pembua..!!so what akizomewa?!huwezi fanya kila mtu akupende!!unapokuwa mtu maarufu hiyo ni part tu ya maishaa!!aliwahi zomewa rais wa nchi,wanazomewa wakina ronaldo,messi,taifa starz ilizomewa juzi.juzi... Watu wengi sana walishazomewa ambao leo ni watu successful...!!ni upuuzi na ni utoto,ujinga uliopitiliza kujipanga kwenda kuzomea!watu wanaenda sikiliza hoja!hawajiandai kuzomea!! Au ndio tabia uliyofundishwa??..yaan km ungekuwa mtt wng nakuchapa sana na nakifundisha ukitaka kumpinga mtu tumia akili sio kipiga makelele mishipa ikutoke kama chizi wakati hata hela ya maji au maziwa huna!!!huo mda wa kuzomea ni bora ushike kitabu ujifunze kitu kipya...au usake fedha wanao waishi maisha mazuri!!Nasema NI UPUUUZI SANA KUJIPANGA KWENDA KUZOMEA...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom