Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Wakuu tuachane na habari ya kuzomewa Zitto ni fundi bungeni tu majukwaani hana hoja ni mweupe mno je mnaosikiliza hiyo video mtabisha huyo sio zitto? Anachoongea hapo ni kitu gani hata kama wewe ni mshabiki wake mbona mweupe hivyo natokwa mapovu ? Hadithi zake zinawinda wapinzani utafikiri ndio wenye dola? anazijua shida za wanachi majisifu na kuponda wenzie. Hivi mbona wapinzani tunamheshimu Mtikila Makaidi, hata Cheyo na madhaifu yake Kina mbatia. Marando kina Mapalala , Kweli Mbowe ulimgroom mtu dhaifu kabisa ,zitto ndio ameshindwa kujieleza kiasi hiki anakoroma jukwaani?