Zitto alazwa Dar es Salaam

tunamwobea apone aendeleze mapambanao hakuna kwa kwenda ccm wala nini ...mgongano lazima uwepo kwan hata alienda ccm sio kwamba ndani ya ccm wote wanakubaliana kwa kila jambo ZITTO NDANI YA CHDMA ASITOKE
 
RIP Chadema


Sarkofagus_Lux_Coffin.jpg

This is silly and stupid. Sijawahi kuona akili finyu kiasi hiki. Unaamchongea jeneza mtu kwa kuwa anaumwa?
 
Uongozi au uanachama wa mtu kukataliwa, haina maana uhai wake pia hautakiwi. Wanaomwekea zitto jeneza humu siyo binadamu wa kawaida. Na kama hilo jeneza limewekewa Chadema basi huyo mtu hafahamu siasa. Kuingia na kutoka au kufukuzwa ni utaratibu wa kawaida katika vyama vya siasa
 
Tunakuombea upone ili ukaombe msamaha baadaye kwa wakuu wako hasa kwa kuwasaliti. Ama kweli kikulacho ki kinguoni mwako.

How can a person we used to trust make such bullshits.?
 
RIP Chadema


Sarkofagus_Lux_Coffin.jpg
Waungwana tuache mizaha unajua unapoambiwa mtu anaumwa halafu wewe unaweka picha ya jeneza inaonyesha wazi kabisa wabongo hatupendani mie naona sio busara kabisa na hata kama mheshimiwa mwenyewe anapitia akaona hivi anakata tamaa kabisa ya kuishi na ataona kama mnamtakia mabaya jamani bora tusimpende mtu kwa mambo ya kawaida lakini sio kumuombea mabaya kwani kila mtu ana mabaya yake tukisema tuyaanike ya kila mtu ya zitto yataonekana madogo sana!tuwe waungwana mtu anaumwa twende tukamuone tumbebee na chochote kitu lakini sio unaenda kumuona mgonjwa unabeba na jenezwa picha hii sijafurahishwa nayo sijui may be sababu bado
sijajua inaashiria nini!
 
Namuombea apone aendelee na maisha yake

Ila Lile la MAria Kyejo..... Kweli nimevunjika moyo, Dah!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom