Zitto akataa posho ya mil. 238

Zitto akataa posho ya mil. 238

taratibu mkuu zitto hakufukuzwa, zitto alijiuzuru hivyo malipo ni halali yake. kama nahisi alifukuzwa leta ushahidi

Kama amejiuzuru hana chake, bora angefukuzwa wangemlipa.
 
Mbona mnalialia?Zitto kabwe hajafukuzwa ubunge kilaza ww!fuatilia mambo ndo uje hapa!

aaaah ama kweli we ni mhanga wa kutatuliwa......kama jamaa alivyokwishasema.
Haya kama bado ni mbunge tuambie lini kahudhuria kikao hata kimoja ktk hili bunge linaloendelea sasa?!!
Na kama bado unaamini hivyo, tuoneshe basi hata huo uthibitisho wa maandishi unaothibitisha kuwa hayupo bungeni pengine kwa udhuru alionao kutoka kwa spika.
utkuwa bonge la b.w.e.g.e sijapata kuona wewe...
 
Zitto anakataa posho kwa mkono wake wa kulia na kupokea fedha za escrow kwa mkono wake wa kushoto.

Taja hao waliozikataa....mbona wako kimya kama hakuna kinachoendelea vile! PEOPLE'S POSHOOOOOOOOOOO!
 
akiwa anatoa msaada atasema zimetoka wapi?lazima atajibu kwenye mafao yangu au?anatafuta sifa kwa fedha anazoziita haramu.

Wengine tumechoka kudanganywa.alisema mwenyewe msituamini wanasiasa,ni kweli waongo kwa asilimia 100.

people's poshooooooo
 
Mbona unalialia wewe.Huyu ni bora sababu hata amelizungumzia lkn hao wanaojiita kambi rasmi ya upinzani wamenyamaza kama hakuna kitu. Lakini naomba ni washauri watanzania kama unataka mabadiliko acha kufikiria serikali,chama cha siasa wala mtu binafsi chukua hatua wewe mwenyewe. Naomba kuwasilisha

wapinzani wakizikataa pesa hizo mtasema wanatafuta 'cheap popularity' wakizichukua inakua nongwa. enyi wana..... ni nani amewaroga? :car:
 
vyama vyote njaaa tuu na wawakilishi wote njaaa tuu na ufisadii ndo wananukaa. c ukawa wala ccm wote mafisadii. haiwezekanii bunge lijipitishie sheria ya kulipwa mamilioni hali ya kuwa hospitali hakuna madawa, shule hazina vitabuu na wabunge wanaojiita wa upinzani wapo tu na wao wanashiriki kupokea pesa chafu hizoo badala ya kukubaliana kwa pamoja zielekezwe kwny maendeleo ya jamii ili muongeze credit lakini nanyi mnashirikii kuchota mapesaa ya wananchii. wote mafisadii
 
amesema za ziada ,sio pesa zote ,hapo amecheza tu na akili za wavivu wa kusoma.
cha msingi zitto angetuambia in that amount 238 m,ziada ni bei gani?
au zote ni ziada?
 
Ana hela nyingi sana kazificha kwa andreas cordes
 
Sijawahi kuona mwana siasa mnafiki na mzandiki aliyelaaniwa kama zzt! Shabaaaaaash
 
Nimesoma uzi chap chap nkidhani kuwa zzk kazikataa ngawira kumbe maneno tuu. Mbona kazilamba zile za BMK hata siku moja hakukosa wakati wenzake walizisusa?? Mbona hamkuja haraka humu jf kututajia majina yao wote walio zikataa??
ZZK ni mlafi mwanzo mwisha, hastahili kutajwa humu yule ni Yuda tuuu. Hatakaa akatae pesa hata mia kwake haikosi mfuko wa kuweka.
 
Zito huyuhuyu au yupi
Bora umwamin shetan kuliko the supreme.
Mfn mdogo tuuu juz rafk yake wa damu kafulila kamshushua kwa unafk wake.na bado more to come...km ni dhambi nipate ila sio siri huyu jamaa ni shetan
 
jamani hamjamuekewa zzt,kasema fedha zoto za ziada.
sasa kwenye hiyo amount ya 238 atuambie za ziada ni ngapi?
Au hizo 238 zote ni za ziada ??
zitto you can fool some people some time but you can't fool all the all the times.
kawadanganye mwandiga na lwiche sio humu.

na siku waislam wa mwandiga wakimgeuka ataomba mbingu ipasuke aingie.God is watching
 
Posho hizo ni kwa mujibu wa sheria so atapokea maana ni mafao kwa mujibu wa sheria ......awadanganye wajinga , zile za posho alisema hatapokea mara atapelekea kwenye NGO yake huko Kigoma , muulizeni ziko wapi ? NGO yake ilipokea ngapi? Mnafiki sana huyu ....

Mkuu wewe umeelewa kama Mimi. Kwa kuwa posho hyo ni haki yake basi ataichukua
 
Kauli kama hii ni chungu kwa kamanda Lema ,lema anatamani hata haya mafao yange double ili atimize adhima ya tumbo lake
 
Zitto anakataa posho kwa mkono wake wa kulia na kupokea fedha za escrow kwa mkono wake wa kushoto.
Aswaaaa hapo umenene kanjanja ZZK kwa kukwapua vihela vya mitaani hajambo, zizazojulikana anazikwepa makusudi aonekane anajari sana wananchi kumbe nyoka wa makengeza no.2
 
Back
Top Bottom