Zitto akataa posho ya mil. 238

Zitto akataa posho ya mil. 238

Kama anaona hastahili hiyo hela kwa nini asikatae moja kwa moja? Eti haki yangu nitachukua inayobaki nitasaidia vituo! yaani hela unayoiita haramu unaenda kuchukulia umaarufu? Hiyo mimi naita ameipokea, wajinga tu ndo watakubaliana naye! Hela ile inalipwa kwa hundi sasa ikipitia kwenye akaunti yake si ameipokea huyu?
 
  • Thanks
Reactions: Awo
Et atoke vp! Kama angekuwa hajatoka msingemfuatilia kwa maneno,mngemuacha kama mlivyomuacha John Shibuda!Zitto si size yenu!
Jibu hoja , msaliti wenu anaandamwa na jinamizi la usaliti anatafuta ntoke vipi hapo......
 
Bavicha mnakazi kubwa mnooooooooooo!kila mkiona jina la Zitto hata kama mnaku.nya lazima mtaacha ili muwahi kuja kurusha ngumi JF!

Tatizo lako unafikiria kwa Miguu na kutembelea kichwa ndiyo maana hoja zako ziko kama umetoka kufumuliwa Marinda.Sina tabia ya kuabudu binadamu mwenzangu.Nina hoja na mwazo yqngu yaliyo huru.Pole sana muabudu Binadamu mwanzako Zittophobia.

Siku ukiwa na uwezo wa kufikiri kwa kichwa tutakuwa sote.Kwa sasa endelea kufikiri kw miguu na kutembea kwa kichwa
 
Ponsian Proti Kumbe unachukua?????????? Nani kakuambia wengine hawatasaidia jamii kwa fedha hizo??? Kumbe kisicho HAKI huchukuliwa kikatumiwa na WALOHAKI??? Nani kakuambia hao walemavu au yeyote yule anahitaji KISICHO HAKI??? Kama sio haki ningeona wewe wa maana na tofauti kama usingegusa hicho kisicho haki.....KUMBE UNAZITAKA...HAKUNA GENI
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Mbowe,Lissu na Mnyika wametulia tulii wanaisubiri kwa hamu na uchu wakufa mtu
Hili jamaa ni pumbavu tu! Kama anaona hastahili hiyo hela kwa nini asikatae moja kwa moja? Eti haki yangu nitachukua inayobaki nitasaidia vituo! Shenzi type kabisa yaani hela unayoiita haramu unaenda kuchukulia umaarufu? Hiyo mimi naita ameipokea, wajinga tu ndo watakubaliana naye! Hela ile inalipwa kwa hundi sasa ikipitia kwenye akaunti yake si ameipokea huyu?
 
Mpuuzi kabis huyu ZZK. ili azigawe huko ocean rd na kwenye ujenzi wa hilo bweni la wasichana si lazima azipokee??
Kawadanganye shangazi zako wa mwandiga na sio hapa.

Mbona unalialia wewe.Huyu ni bora sababu hata amelizungumzia lkn hao wanaojiita kambi rasmi ya upinzani wamenyamaza kama hakuna kitu. Lakini naomba ni washauri watanzania kama unataka mabadiliko acha kufikiria serikali,chama cha siasa wala mtu binafsi chukua hatua wewe mwenyewe. Naomba kuwasilisha
 
kina mbowe, lema, mnyika, kuchukuwa milioni 230 kila mmoja na kukaa kimya siyo wanafiki?

kaka kwanini usimlaumu mtoaji (serikali)??? Kwanini serikali ya ccm itoe hela kubwa halafu hali mbaya kwa wananchi.
 
Unastahili pongezi mh. Zitto kwani wewe ndio wa kwanza kuziongelea tofauti na waheshimiwa wengi wa upinzani ambao huishia kupayuka hovyo bungeni serikali inatumia fedha nyingi hovyo ktk matumizi makubwa yasio ya kimaendeleo kama vile mishahara, posho, semina n.k ilihali wao ni sehemu kubwa ya matumizi hayo.
 
we unajua wabunge wengine wataenda kuzifanyia nini? je kama na wao wanazirudisha kwenye jamii? hapa alipaswa kutopokea kabisa ndo tumuone jembe
Hata hao unaowasema wewe watazirudisha kwenye jamii ni jambo zuri kwani tatizo nn, kinachotakiwa hapa ni uzalendo wa kweli! usiwasemee kua labda na wao watazipeleka kwenye jamii, waache watamke wao kama alivyo fanya zitto! tatizo wewe uchadema umekujaa, mtu anaonyesha uzalendo kwa vitendo ni bora! kwa hiyo unatakiwa kuwashaur wabunge wengine wawe na uzalendi wa vitendo, usipinge mazur kama wanavyofanya MASISIEM! au na wewe ni mtakaposho mbona unasapot ujinga.
 
Kwanza kulipwa na kupokea mafao kinyume na utaratibu ni wizi?!! Ulishafukuzwa ubunge iweje leo ulipwe mafao ya utumishi?!! Ni sheria ipi inayokuhalarisha wewe kulipwa mafao hayo?!!
Nini tofauti yako na watumishi wengine waliowahi kufukuzwa bungeni kwa wao kuishia kukosa hayo mafao huku wewe ukiyapata?!
Mi nadhani mzalendo wa kweli ni yule anaetumia sehemu ya mapato yake halali kugawana na wengine. Na sio kugawa ziada isokuwa halali kisha kuita ni mchango wako.
Sifa za kijinga.... Na utawahadaa jamaa lako tu.
 
mbona anaiga msimamo wa mnyika kuwa itakayozidi ya ile kabla ya nyongeza ya sasa ataipeleka kusaidia jamii!!!!!lakini ni msimamo positive nauunga mkono.
 
Ziada ni ipi na haramu ni ipi?
Ina maana kuna hela haramu wabunge wengine wote wanalipwa? Atujuze hili mapema wananchi wajue jinsi wabunge wao walivyo wezi wa fedha za umma.
 
Zitto unastahili pongezi za dhati na kuwa mfano wa kuigwa!
 
Kwa hiyo Zitto na Prof Tibaijuka hawana tofauti. Anaingiziwa fedha haram kwenye account yake kisha anapeleka kusaidia shule! Hawa ndio "viongozi" wetu? Role models? Tuna safari ndefu kidogo. Viongozi wanatufundisha kuhalalisha wizi kwa kusaidia jamii. Duuu.
 
Huna lolote wewe Bavicha msukule wa Mbowe na Slaa!Nalazimika kukuita bavicha kwakuwa akili zako zipo kibavicha bavicha! Zimetawaliwa na chuki,husda,majungu,roho ya kwanini na wivu KIKE!

Hahhahaha duh ukweli unauma sana pole.Kwanza asante kwa kujua mie ni mke na siyo mme.Pili wafuatao toka kwenye familia yako wana huo wivu wa kike kwa sababu hatutofautiani jinsia:1.Mama yako Mzazi 2.Shangazi zako,3.Mama zako wadogo,4.Dada zako, 5.Binamu zako wa kike,Shemeji zako,6.na mkeo pia.

Ukitupa mawe halafu upo ndani ya nyumba ya vioo basi nina uhakika nyumba hiyi iko hatarini kuwa chini.

Nimekwambia umri wangu haustahili kuwa bavicha lakini sababu umefundishwa kutukana na huyo Mungu Mtu wako Zitto msiyetaka aambiwe ukweli basi pole tena.Lakini jitahidi kufikiri mwa kichwa badala ya makalio.Na pia unapowaza angalia usiwaze kama mtu afumuliwaye MARINDA...
 
Back
Top Bottom