Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

Zitto alisema hata zungumza chochote kuhusu yeye kugombea urais mwaka huu,swali je yeye kama mwanasiasa dawa ni kufunga mdomo kwa mijadala yenye masilahi na nchi kama hii?,anachoogopa ni nn kama anaona haonewi au alikuwa sahihi kutangaza nia.,nilimpenda zitto,lakini amenidisaappoint sana.
 
Safi sana..sikua na mtu wa kumpa kura yangu ya urais 2015..
Kwa move hii huenda ZITO akapata kura yangu.
Ivi NCCR haina ukabila na ukanda.??
 
Hivi tunakula saa Ngapi Maana sioni chochote kinachoendelea jikoni..!
 
Naona ile theory ya "divide and rule" inataka kutumika hapa....japo najua watanzania wana mapenzi mkubwa sana na chadema ila pia wameichoka ccm...ZITTO hata akihama CDM bado hatapata popularity kama aliyokuwa nayo huku CDM....na hili hata yeye analijua....

Kwa nini Mkuu asigwa hebu toa SABABU
 
Ndio wasomi wetu hawa wa Tanganyika!! uwezo na fikra zao ni kuangamiza vyama au hata watu wenye nia ya dhati ya kuleta ukombozi wa nchi yetu. Hawana uzalendo wanatumika na watawala, lakini siku yaja watajutia upuuzi wao.
 
Safi sana..sikua na mtu wa kumpa kura yangu ya urais 2015..
Kwa move hii huenda ZITO akapata kura yangu.
Ivi NCCR haina ukabila na ukanda.??

Kwa sasa hilo halijaonekana ndani ya NCCR-MAGEUZI labda huko mbele ya safari.
 
wamemuona hana msimamo ndio maana wakadiriki kutangaza kwenye vyombo vya habari
 
Huyu Kisandu kachemka sana imetoboa siri wakati mkakati bado haujakamilika. Natabiri, hata huko NCCR watampuga.
 


.... dhambi ya usaliti ni mbaya kushinda mauti ...Mungu awabariki makamanda wote walioko kwenye uwanja wa mapambano mstari wa mbele ......kuhakikisha watanzania wote walifungwa
minyororo ya utumwa inafunguliwa 2015.........

...aluta continua M4C... mapambano bado yanaendelea... kusafisha majangili !!!!!
 
2010 kwenye uchaguzi mkuu Chadema ilikuwa chama cha pili kwa uwingi wa kura(ya kwanza kama kura haijachakachuliwa),NCCR-mageuzi chama kilichokubalika 1995 ikawa ya pili kutoka mwisho 2010.
 
Nao wanataka kuunda chama cha ukanda. Kigomaa leka tutigite!!!!!!
 
Ndio wasomi wetu hawa wa Tanganyika!! uwezo na fikra zao ni kuangamiza vyama au hata watu wenye nia ya dhati ya kuleta ukombozi wa nchi yetu. Hawana uzalendo wanatumika na watawala, lakini siku yaja watajutia upuuzi wao.
Ndio maana mkoloni alikuwa anawatumia kama manamba tu. Namaanisha wasomi wa ziwa Tanganyika.
 
Zitto kama ni mtu makini ni lazima tusikie chochote kutoka kwake juu ya hili. Hata hivyo natamani Zitto aende huko CHAUUMA au NCCR ili tuone sasa kati yake na nguvu ya umma ni nani zaidi.
 
Zitto na NCCR ni damu bila zitto kafulila asingeshinda ubunge kama kweli zitto anafaida kwenu chadema yeye ni naibu katibu mkuu hakusaidia chama chake kupata ushindi mkoa anaotoka matokeao yake hata kwenye jimbo lake kikwete aliongoza kwa kupata kura nyingi za urais.
 
Huenda mwaka 2013 ukawa ni mwaka mbaya sana kwa chadema.
 
Daa deo kaona amuite! Ina maana ikihamia nccr lazima agombee urais? Kwani nccr hakuna wagombea?
 
sio mbaya.kwangu mimi mtu pekee ambaye naona kwamba ana uchungu na mali za watanzania na watanzania wenyewe ni zitto,so namuona kama mtu mwenye nia njema na nchi hii kwa mujibu wa historia yake katika nchi hii.

Na kama akipewa nafasi huko walikomuita,na ccm ikakosea kumpata mtu safi,basi anaweza kuchukua nchi kwa sababu sioni mtu wa kuweza kumshindanisha naye ndani ya vyama vingine,ukiiacha ccm lakini endapo nayo itampata mtu safi na makini kama john pombe magufuli basi safari yake itakuwa imeishia hapo.

zitto huyu huyu
 
Back
Top Bottom