Zitto akamatwa na polisi mjini Singida

Status
Not open for further replies.
Ngoja wawakate tu, itakuwa kama vile mieleka ya wawili wawili kisha jamaa aliye ndani anasubiri apewe mkono ili aliye aongeze nguvu! Hawa jamaa wakitoka lupango bunge lijalo pata chimbika na hivi serikali imefulia ndiyo itahenyeshwa kama mtoto.
 
Maneno kwenye Ile nembo ya polisi inabidi ibadilishwe kutoka usalama wa raia na kusomeka usalama wa viongozi wa ccm.
 
just got twit update, Zitto is out on bail and back at his hotel
 
Kutoka kwenye Facebook wall ya Zito kaandika....


Message kutoka (katibu wa bunge) Nimewasiliana na msaidizi wa IGP juu ya shauri. Lako, kwa kuwa hawakufuata utaratibu na kosa lenyewe halina nguvu kama kweli lilifanyika busara imetumika na uongozi wa polisi umeagiza. Wakuachie. Bila masharti na kwamba wazingatie sheria. Kabla ya kumkamata. Mbunge yeyote!!!
 
Duuuuh leo ni cku mbaya sana, magamba wameshindwa kudili na shida za wananchi wao wamebaki kukamata wakombozi wetu wa kweli
 
Ni habari njema kwa wapiganaji, kila sirikali ikizidi kubana upinzani inazidi kuujenga!
 
Jamani, this is too much. Natoa wito kwa wanacdm wote humu jf, kokote walipo, watoke jamvin na wafanye mobilization ya kupinga vitendo hivi vya kuzalilisha viongozi wetu. Tkibak humu wataendelea kutukamata na hivyo kurudisha nyuma juhudi zetu za kupata uhuru. Tukumbuke, tusiogope kufa, kwani hakuna mtu aliyewahi kuogopa kufa na asife, tulizaliwa na hivyo tutakufa. Kamoni, dis is de time to put on de light and put off de darkness. Tusiwe wapambanaji wa kwenye komputa, come out.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom