Mbaneingoma Zom
JF-Expert Member
- Feb 23, 2011
- 201
- 14
Ndugu wana JF inasikitisha sana kuona, hii serikali inavyonyanyasa viongozi wa watu waliochaguliwa tena kwa kura nyingi kitendo cha kuwakamata kamata wabunge wa upinzani, ni jambo la makusudi lenye lengo la kufifisha demokrasia nchini. Ila ndugu zangu kama kuna wakati ambao taifa linahitaji umoja ndio huu! kwani hali ilipofikia si ya kuichekea tena. bali ni kufanya maamuzi tena maamuzi magumu! mimi naona kuwa tunahitaji sasa kujiandaa kwa vita dhidi ya serikali dhalimu ya CCM, kwani wao tayari wameshatangaza vita dhidi ya wananchi!! kwanza kuwaua kila kunapoitwa leo pili kuwadhalilisha viongozi ambao wamechaguliwa na kuaminiwa na watu wengi, hili si jambo la kulifumbia macho wala kulivumilia, tumevumilia mengi yanayofanywa na CCM sasa nafikiri hapa tulipofika hatuna hata chembe ya uvumilivu, ila kama wataona tumetulia wasidhani kuwa tumelinyamazia ila wajue tunalifanyia kazi. This is serious and nothing is of a joke!! ila haya yanahitaji umoja wetu kama watanzania.
Hatimaye tutashinda vita hii muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu.
Mungu ibariki CHADEMA Mungu ibariki Tanzania
Amen
Hatimaye tutashinda vita hii muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu.
Mungu ibariki CHADEMA Mungu ibariki Tanzania
Amen