MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,610
uhujumu zaidi ya kukaribisha tulio waita mafisadi na kuwaweka kwenye list of shame?
unaushahidi wa maneno yako mkuu... maana kuna mahakama ya mafisadi na wala rushwaNina shida moja na ZZK sio ngangari akiminywa kidogo tu na nyongeza ya vipande vya shekeli anakuwa kama mkate kwenye chai...
Wanamuita sugu kwa jina lingine mr too. Hata mtoto wake demu wangu ananita sugu ah haaa.
Maneno kutoka kwa mchumia tumbo tapeli na mpenda misifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa maaskofu natamani kama wangekuwa hawana kaunafiki flani kalikojificha... maana Pogba akienda makanisani wanamwagia sifa kuwa yeye ni chaguo la maulana...
Usaliti wake utazungumziwa baadae sio?[emoji16][emoji16][emoji16] wanasiasa wa bongo kwa unafiki tu hawajamboNi kumuunga Mkono Zitto Kabwe.
Mkuu umekuwa na mawazo kama yangu, ile comment nilipokuwa nasoma ikanipeleka kuona huyu ndiye...Wewe utakua zitto mwenyewe,sizitaki mbichi hizi,hadithi ya sungura na mkungu wa ndizi zama zilizopita
KURA ndizo kila leo zinaendelea kuiweka CCM madarakani
The best thing is we dont have to believe whatever your old man has told..you..So sad for years now Kagame and Museveni are still surviving..!! Na kila udhalimu zitto aliotaja wanafanya..!
Ain't easy guys..!
Mzee wangu always tell me nikitaka kuridhika kwa kila nachotaka nisubiri nikifika mbinguni., so you may guys.!
ninachojua ukivunja amri moja basi umevunja zote hakuna dhambi kubwa wala dhambi ndogoSwali rahisi tu,
Dhambi Mbaya ni ipi kati ya hizi mbili ??
1. Kumuuza mwana wa Adamu kwa vipande 12 vya fedha na kumbusu ??
2. Kumkana mwana wa Adamu mara tatu kabla jogoo hajawika na kusema kwamba humjui mtu huyu ??
Kati ya hawa wa wawili ni nani aliyekuwa na uwezo wa kunyoosha kidole na kumhukumu mwenzake ???
Makamanda si mliamriwa kulinda kura zenu? Iweje sasa sanduku la kura liondoshwe kisha lirejeshwe na nyie mpo tu? Au nyie makamanda hewa. Au mlidakishwa hlf baadae mje kulialia humu!Kama ni kura leo hii ccm ingekuwa kama KANU ya Kenya. Huo mchezo wa kutoka na box la kura kituoni kisha kulirudisha hata chama cha Dovutwa kingeshinda.
Nilijiunga na chuo udsm 2002 palikuwa na wanafunzi waloitwa 202 kama sijakosea .hawa walikuwa wanafunzi wenye sifa na walikuwa wameombaa kusoma sociology. Wakanyimwa ufadhili.wakati ule ukiwa unalipiwa na wazazi wrwe kilaza kama bashite. Huyu mwamba alitupigania hadi tukapata ufadhili wa serikali. Raisi wa daruso alikuwa rugrmalila. Huyu ni mwanamapinduzi hasa.ila kuna mahali apipotoka. Na kudhani ana akili kuliko walio wengi...