Zitto hadi kajengewa barabara kwake, ni Mbunge gani wa upinzani kajengewa barabara kama ZZK. Nataka nijue tu.
Japo zitto ni msaliti na mla rushwa lakini hakuna chadema bila zitto.Wadau mmeshasahau Zitto alivyoengua wagombea wa CDM dhidi ya Pinda na Nimrod Mkono? Mmeshasahau vikao vyake na Jacky Zoka kuanzia 2009 kuiua CDM? Mmesahau alivyotudanganya anafuatilia mabilioni ya Uswisi ili kutupumbaza? Mmesahau ana madiwani 2 tu kwenye jimbo lake? Mmesahau kaanzisha ACT ili ipambane na CDM na siyo CCM? Mjadala wa Escrow kawalinda Ikulu na Hazina tena alikubali pendekezo la Chenge ndipo Mbowe akawashtukia? Once a traitor always a traitor. Zitto akafie ACT. Full Stop!
tatizo hapa sio MBOWE ni ZITTO mwenyewe.. ameambiwa anaweza kusamehewa akarudi kundini . sasa ZITTO anaweka masharti ya nini ili akubali kusamehewa?? TAFAKARI CHUKUA HATUAViongozi wangu Mbowe na Dr Slaa, tunawapenda sana pia tunawaamini, hebu msameheni Zitto, tunataka tuone ile triple army kama ya zamani, msameheni bila masharti.
Zitto na wewe hebu tunaomba utulie kamanda, epukana na kauli tata tujenge chama.
Japo zitto ni msaliti na mla rushwa lakini hakuna chadema bila zitto.
Wakuu,
1:Kuna watetezi wa Zitto hapa ambao ni genuine wanaona Zitto alionewa ingawa hawasemi kwamba alipewa barua kujulishwa makosa yakw
2:Kuna watetezi Genuine wa Chama hapa wanaotaka katiba ifuatwe na ukuu wa Taasisi uzingatiwe
3:Kuna watetezi wa Zitto hapa ambao sio genuine bali ni maadui wake na maadui wa Chadema.Ni maadui wa upinzani.Kazi ya kuchochea upande wanaoamua
4:Kuna wasiofungamana na upande wowote ila wanapenda haki na upinzani imara usio na doa na migogoro
5:Kuna wasiojua chochochote
6:Kuna ambao hawataki kabisa kuhoji ukweli wa hoja hii aliyoleta mleta mada na wapo kwenye hayo makundi yote hapo juu na hii inaweza kupelekea hata wanachama kukwaruzana
7:Kuna wahusika wakuu katika suala hili nao wako hapa hawatasema kwa ID zao halisi au wanafuatilia kwa karibu bila kujali credibility ya thread.
Kila mmoja awe genuine na azingatie haki na ubora wa mijadala sasa. I'm out!
Wadau mmeshasahau Zitto alivyoengua wagombea wa CDM dhidi ya Pinda na Nimrod Mkono? Mmeshasahau vikao vyake na Jacky Zoka kuanzia 2009 kuiua CDM? Mmesahau alivyotudanganya anafuatilia mabilioni ya Uswisi ili kutupumbaza? Mmesahau ana madiwani 2 tu kwenye jimbo lake? Mmesahau kaanzisha ACT ili ipambane na CDM na siyo CCM? Mjadala wa Escrow kawalinda Ikulu na Hazina tena alikubali pendekezo la Chenge ndipo Mbowe akawashtukia? Once a traitor always a traitor. Zitto akafie ACT. Full Stop!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anachukizwa na kitendo cha Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) la kuweka sharti la kurejesha kundini.
Zitto ambaye alivuliwa nyadhifa zake zote za uongozi mapema mwaka huu, kwa sasa yuko mahakamani akitetea uwanachama wake, baada ya viongozi wenzake wakuu kutishia kutaka kumfukuza.
Habari kutoka ndani ya Chadema zinasema, karibu viongozi wote wa juu wa chama hicho, akiwamo Dk. Willibrod Slaa, wameonyesha nia ya kumsamehe Zitto ili arejee kundini, lakini tatizo lilikuja pale mwanasiasa huyo alipoweka sharti.
Inadaiwa kuwa Mbowe ameweka msimamo mkali baada ya Zitto kutoa kauli inayoonyesha kuwa anataka kuwekwa sharti la yeye kurejea ndani ya chama.
Kulikuwa hakuna tatizo Zitto kusamehewa na kurejea ndani ya chama. Lakini kauli yake kuwa anaweka sharti la kutaka kusamehewa, ndilo limeonekana kumkera mwenyekiti, ameeleza kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya chama ambaye hakupenda kutajwa.
Amesema baada ya Kamati ya Bunge ya PAC inayoongozwa na Zitto kufanya kazi kubwa ya kuchambua ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kisha kuwasilisha mapendekezo yake bungeni, baadhi ya viongozi wa Chadema akiwamo Mbowe na Dk. Slaa walionekana kuwa wako tayari kusamehe yaliyopita, lakini kitendo cha Zitto kuweka sharti kimewaudhi baadhi yao na kumuona kama mtu anayetaka kuabudiwa.
Mapema wiki iliyopita, Zitto alinukuliwa na gazeti la Mwananchi akisema, "hajui kosa" lake na kuweka masharti kwamba pale atakapoambiwa kosa lake yuko tayari kuomba radhi na kurejea Chadema.
Wewe leo unatia aibu tu hapa. Unaelekea kuyala matapishi yako. Angalau kwasasa umeyakaribia na umeshayanusa,ila unaona aibu maana ni mapema mno. unajua ni kwanini leo upo hivo;
1. wewe pamoja na kutumika kooote huaminiki na chama kama Zitto ambaye ulishiriki kumchafua kwa kiasi kikubwa
2. Wewe umejikuta ni majeruhi wa chaguzi za chama wakudumu hivyo hakuna sababu ya kuendelea kua radical dhidi ya Zitto
3. Unalijipenyeza kupitia kichaka cha IPTL/Escrow kumsogelea Zitto na kwa bahati nzuri ana ngozi ngumu na amekusitiri tu
4. Leo ungetamani Zitto arejee CDM kama kawaida na kufanya nae kazi, lkn bado unajiuliza uso wako utauficha wapi??
Nawaza tu kwa sauti!
It is possible but difficult to handle Zitto, when he has an access to the locker key. This time we going to spent more energy/resources to counteract his 'ill-motive'; as any of his surprise attack, while in the group, to the Unity of UKAWA will be more less beyond repair.
Ni mawazo yangu. Si mwamini hata kidogo kwenye masuala ya kuleta ukombozi wa wananchi kwenye masuhala ya haki, umoja, na amani na maendeleo. He is more obsessed with Power.
Ninyi mnaowataka Mbowe na Slaa wamsamehe Zitto, kwani mmeambiwa wapi kwamba wamekataa? Walichosema ni kwamba asiweke masharti ya kuombana msamaha. Ni vyema mkamwambia ZZK aondoe masharti hayo, vinginevyo status quo iendeleeViongozi wangu Mbowe na Dr Slaa, tunawapenda sana pia tunawaamini, hebu msameheni Zitto, tunataka tuone ile triple army kama ya zamani, msameheni bila masharti.
Zitto na wewe hebu tunaomba utulie kamanda, epukana na kauli tata tujenge chama.