Zitto aitesa CHADEMA

ACT ni nyumba ndogo ya CCM.. UDINI; UKANDA; na UKABILA NDIZO SERA ZAO!
una copy na ku pest sifa zinazowahusu..
udini mnupractice ninyi, ukanda mnajua kanda mnayotoka na ukabila..... you are CHAGABOYS FO REAL
 
Mbona unapanick kaka!
Hapo ujue jamaa anacheza karata zake na huna cha kumfanya, in fact amewa-check mate!
Whats CHDEMAs next move?
NOTHING!

Jamaa paniki mpaka kwenye kucha, halafu anajenga hoja za mahakamani kwani anadhani huwa zipo kwa ajili ya nini? Ni kwajili ya watu wanaoonewa, kukandamizwa, kunyanyaswa na kubaguliwa. ZZK si kilaza kama huyo msukule unaogeuzwa geuzwa. Jamii ya akina ZZK ndiyo tunaitaka nchini si hao wanaofinya uhuru wa wanachama kutoa maoni, kugombea na kuwa viongozi
 
Hivi ww mbona huwezi kushirkisha hata ubongo wako unapopost kitu hapa hilo gazeti nalo unaweza ukamini udaku wake?
DUH.. HATA RAIA MWEMA LEO LIMEGEUKA UDAKU..
poor chadema fellas, as the time winds up mtajikuta mmebaki peke yenu kama wachawi, kila mtu kwenu ni mmbaya. tatizo zaidi ni kwamba....... mnataka kusifiwa na kudanganywa tuuu lakini mkiambiwa ukweli mnasanda
 

Nimekuhurumia sana
 
una copy na ku pest sifa zinazowahusu..
udini mnupractice ninyi, ukanda mnajua kanda mnayotoka na ukabila..... you are CHAGABOYS FO REAL

ACT itaimarishwa na watu wenye mentality kama hii yako? Mwenzako dotto C Rangimoto amebadili approach yake yakuieneza ACT. Haitukani Chadema kwa ID yake vwrified. Ameona impact. Sasa wewe endelea kuojenga ACT kihuni uone
 
Last edited by a moderator:
una copy na ku pest sifa zinazowahusu..
udini mnupractice ninyi, ukanda mnajua kanda mnayotoka na ukabila..... you are CHAGABOYS FO REAL

ACT itaimarishwa na watu wenye mentality kama hii yako? Mwenzako dotto C Rangimoto amebadili approach yake yakuieneza ACT. Haitukani Chadema kwa ID yake vwrified. Ameona impact. Sasa wewe endelea kuojenga ACT kihuni uone
 
Last edited by a moderator:
Ukijaribu kuangalia Mada nyingi za Zitto zinazoanzishwa hapa nivijana wa Lumumba hiyo inatosha kabisa kua na ajenda ya siri poleni sana tumeshawajua wachumia tumbo
 
act itaimarishwa na watu wenye mentality kama hii yako? Mwenzako dotto c rangimoto amebadili approach yake yakuieneza act. Haitukani chadema kwa id yake vwrified. Ameona impact. Sasa wewe endelea kuojenga act kihuni uone
sijali na wala sijisumbui kuufikiria ushauri wako. Naamini kwa dhati kabisa kuwa.....''hakuna ushauri wa maana utakaotoka kwa mtu wa chadema''
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri Zitto ameamua kuanzisha chama chake ili ndoto yake ya kuwa mwenyekiti wa chama itimie. Namshauri aitangaze mwenyekiti wa kudumu ili kuepuka asifanyiwe mizengwe kama aliyoianzisha cdm kabla ya kutimuliwa
 
una copy na ku pest sifa zinazowahusu..
Udini mnupractice ninyi, ukanda mnajua kanda mnayotoka na ukabila..... You are chagaboys fo real


ona maswali ya watu makini!

kinachonichanganyau wapambe wa ccm ndio haohao wapambe wa act,kiasi nashindwa kutofautisha wapi ccm wapi act.

umeniwahi mkuu... Hili ndilo swali nililotaka kuuliza na mimi.

bado nafanya utafiti sijapata jibu kwamba ni kwanini wanaccm walio wengi wanaipenda na kuishangilia sana act hasa wafuasi wa ccm mitandaoni!!!!!

talk of chama cha ukanda.....hiki ndo chama cha ukanda haswa.

Chama kipo kigoma tu baaaasiiii.
 
sijali na wala sijisumbui kuufikiria ushauri wako. Naamini kwa dhati kabisa kuwa.....''hakuna ushauri wa maana utakaotoka kwa mtu wa chadema''

ACT ni taasisi ya kidini inayoongozwa kwa utabiri wa nyota.. ZITOJIMANA KABWELAGIMANA Ni mhutu na mmiliki ya VICOBA ya ACT!



ACT ni nyumba ndogo ya CCM!

zitojimana kabwelagimana ni mhutu usibishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…