ACT yafunika Kigoma

ACT yafunika Kigoma

Talk of chama cha ukanda.....hiki ndo chama cha ukanda haswa.

Chama kipo Kigoma tu baaaasiiii.

Hujui siasa au unaufaham mdogo.ulitegemea chama kichepuke na kupendwa nchi nzima kama ilivyo kwenye vyama vingine lazima kuwe na sehemu chama kitakubalika haraka kuliko ukanda mwingine.CDM hadi Leo wanapamba kupata nguvu ukanda wa pwani ambao CCM na CUF wanapeta.wakati Kilimanjaro na Arusha hakuna CUF.
 
Kinachonichanganyau wapambe wa ccm ndio haohao wapambe wa ACT,kiasi nashindwa kutofautisha Wapi ccm Wapi ACT.
 
Nimekuwa nikijiuliza sana tabia ya unafiki na usaliti waliyonayo watu wa kigoma nikatambua kuwa inawezekana hawa si Watanzania maana hakuna Watanzania wenye tabia kama hiyo.
 
Machadema bwana hayakosi maneno. Juzi mlikuwa mnapiga kelele ohhho chama cha mitandao leo tena unasema mikutano sio issue!

Hujui siasa au unaufaham mdogo.ulitegemea chama kichepuke na kupendwa nchi nzima kama ilivyo kwenye vyama vingine lazima kuwe na sehemu chama kitakubalika haraka kuliko ukanda mwingine.CDM hadi Leo wanapamba kupata nguvu ukanda wa pwani ambao CCM na CUF wanapeta.wakati Kilimanjaro na Arusha hakuna CUF.

ACT ni nyumba ndogo ya CCM!... Wafuasi na mashabiki wake ni CCM!.. Mikutano yake inagharamiwa na CCM!
 
Machadema bwana hayakosi maneno. Juzi mlikuwa mnapiga kelele ohhho chama cha mitandao leo tena unasema mikutano sio issue!

Angalia picha zote waliohudhuria wamekaa kama wanamsikiliza padri au shehe msibani leteni picha nzuri
 
Haahahahahahahah!!! eti mmefunika haya hongereni zenu!!!
 
Genge la wasaliti hili tupa kulee

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Bado nafanya utafiti sijapata jibu kwamba ni kwanini wanaCCM walio wengi wanaipenda na kuishangilia sana ACT hasa wafuasi wa CCM mitandaoni!!!!!

Mkuu kwani hujui kwamba ACT ni mradi wa Chama cha Mafisadi (CCM) wakimtumua yule msaliti wao ZZK ili kuidhoofisha CDM.
Lakini hawataweza kwani walishajiapiza kwamba CDM inakufa 2013 lakini hawakuweza na sasa kwa kutumia ACT (aka CCM B) hawataweza kamwe. Wakamuulize mtabiri wao aliyekuwa anawalinda kwa Majini Shehe Yahaya Hussein.
Tulianza na MWENYEZI MUNGU tunaendelea na MWENYEZI MUNGU tunamaliza na MWENYEZI MUNGU.
 
Nilikuwepo kwenye mkutano huu. Mkutano umefanyika katika stend ya kasulu mjini. Mleta thread ni MPUUZI. Ukiangalia hizo picha kuna nyasi, ni sehemu gani ya hiyo stend kuna nyasi? Kuna pia udongo wa vumbi jingi. Ni upuuzi kuleta uongo. Watu walikuwepo, kati ya wanachama wote ni mwigamba tu aliyekuwa amevaa sare ya chama yani zambarau na gari lilipakwa rangi zambarau. Si limbu, katibu mwenez, (kaijage, masudi,luka, job- wote hawakuwa na sare ya chama). Watu wamewasikia tu na wakawashiti, nafikiri wameona kuwa usariti unakaribi. Limbu kasema mwanasheria wao ni mtu wa nyakitonto....hivyo hiki ni chama cha waha. Aende mwanza, kagera na musoma aibu yake huyu mwigamba hatasahau
 
Siyo siri mimi ni muha ila kwenye sakata la ACT ZITTO unajiharibia na kujishusha hadhi.Kwanza unatuhumiwa kuwa nyuma ya ACT wewe unakana,muda huo huo wakinaMwigamba nguvu zote wamewekeza Kigoma nawanatamka waziwaz eti hiki ni chama cha Zitto ili watu wajiunge,kwangu mimi nauona huu ni upuuzi,je huu si ukabila?wanawapigia watu kelele kuwa Chadema ni chakikanda na ukabila,,mbona ninyi ACT ndiyo mmekuja kwa kasi juu ya ukanda na ukabila?Kwahyo hiki ndiyo mnataka kiwe chama cha Kigoma?Naona hamtujui WAHA ninyi!
 
ACT imefunika au imefunuliwa? Chadema bado ina nguvu Kigoma. Ni ndoto ZZK kujiunga ACT, katibu wake (katibu wa mbunge)Dr Alex(MD) amemtanguliza ACT ameshaanza kulalamika kuwa Mh Zitto amemtosa. Dr Alex anaandaliwa kugombea ubunge kupitia ACT jimbo la Zitto.
 
Chama kipya na kinachokua kwa kasi cha ACT kinaendelea na ziara ya ujenzi wa chama. Hizi ni picha za mkutano wa Kasulu Kigoma.

Karibuni mtuunge mkono kwa maslahi ya nchi yetu.Njano5

Misukule ya mhutu ZITOGIJIMANA KABWELAGIMANA
 
Chama kipya na kinachokua kwa kasi cha ACT kinaendelea na ziara ya ujenzi wa chama. Hizi ni picha za mkutano wa Kasulu Kigoma.

Karibuni mtuunge mkono kwa maslahi ya nchi yetu.
attachment.php

Njano5
mhh! mbona wamekaa mbali si wanaangalia mpira hawa? maana hata mhutubiaji haonekani
 
... wana -act on behalf of CCM kudhoofisha Upinzani! Ndiyo maana hata Budget yao inatolewa na CCM via fedha za UFISADI...
Bado nafanya utafiti sijapata jibu kwamba ni kwanini wanaCCM walio wengi wanaipenda na kuishangilia sana ACT hasa wafuasi wa CCM mitandaoni!!!!!
 
Bado nafanya utafiti sijapata jibu kwamba ni kwanini wanaCCM walio wengi wanaipenda na kuishangilia sana ACT hasa wafuasi wa CCM mitandaoni!!!!!

Hilo jibu ni simple sana mkuu hata mtoto wa darasa la tatu aweza ukujibu.

ADUI WA ADUI YAKO NI RAFIKI YAKO....
 
Back
Top Bottom