Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Bro, Which ability unaongelea hapa. Zitto Kabwe umaarufu wake unatokana na acceptance ya jamii yote ikiwemo jamii forum. Umaarufu wake unatokana na kitendo chake cha awali kuonekana ni mtetezi na mpigania haki wa wanyonge. The course has changed now. Mimi niko Iringa, the story ni doubt kubwa walionayo/tulionayo watanzania kuhusi nia ya Zitto. Hitimisho linalofanywa na kila mwenye akili timamu kuhusu huyu kijana (ambaye anafikiri umaarufu wake unatokana na kujiona maarufu kwa sababu za yeye kama yeye kuwa maarufu bila kuona mchango wa watanzania walio wengi ambao kimsingi ndo walifanya awe maarufu) ni kwamba the guy ni mbinafsi, mnafiki, mwanga na aliye tayari kufanya chochote kibaya ili mradi apate sifa (e.g Masalia) na kufikia malengo yake haramu.
Note: Hakuna asiyeelewa sasa kwamba Zitto ni sumu kwa watanzania na Taifa hili. Personally kila group ninalokutana nalo when i have time ni kumjadili huyu kijana kwa mantiki kubwa sana, hatimaye wanaoshiriki mjadala wanapewa assignment to inform others kuhusu hichi K.I.R.U.S.I - Zitto a.k.a Sangoma.
Unaarufu upi?
Bila kazi iliyofanywa na TINDU kwa miaaka zaidi ya kumi huko migodini na yeye kupewa desa aliwasilishe bungeni angekuwa hapo?
Bila kazi iliyofanywa na wanachadema kigoma yeye akiwa mwanafunzi, kumbuka ile makala ya kibanda kuwa alitoka shule na kukuta network ya chadema ipo na yeye kupata ungunge kiulaini, angekuwa wapi leo?