Hili nakubaliana nalo ndio maana nikaanza na ganda la mua la jana!.Mkuu huu ni mtazamo wako binafsi!"beauty is in the eyes of beholder"
Yes indeed!, thats what friends are for!.
P.
.... with no real life relavance!
That means he is not famous,in steady,he is notorious!
Why him?, kwa vile CHADEMA is the only party he had ever known, kwanini hao wengine ndio wasiondoke kumsusia chama tuone kama kitamfia!. After all wengine wana vyama vyao mpka kadi zao zimewekwa kabatini kama kumbukumbu!.kama ni kweli Zitto anauwezo mkubwa na wafuasi wengi! aanzishe chama chake!
​​Wanajamvi, sio kusudi langu kuingilia mtazamo wa mtu yeyote, ila kwa nia ya dhati na uelewa kuhusu uhuru wa kutoa maoni unaolenga kujenga na sio kubomoa, nimeona vema nitoe Ushauri kwa Mkuu Zitto na Kundi lake.
Nianze tu kwa kusema Ukishakataliwa na Jammiforums umekataliwa na jamii nzima ya watanzania na lazima mtu husika uwe makini na idadi ndogo (minor proportion) ya watu wanaoweza kukuhadaa eti wanakuunga mkono hapa jamvini kuliko wale wanaokupinga. Na hasa ukijua kuwa wanachama wa JF ndo wapiga kampeni huko mitaani kuhusu Chama na mwanasiasa binafsi (kumbuka hofu ya Pinda-CCM) juu ya JF.
Kwa kutambua mchango wako (Zitto), achana na hao walala hoi wanaojipendekeza, wakiwemo CCM wanaotaka kukutumia kama tissue, ningeomba haya uyafanye kutoka kwangu kama Mtanzania mpenda mabadiliko na mchukia wanafiki:
KWANZA; Ujutie kile ulichokuwa unakifanya maana huenda ulikuwa hujui ulitendalo.
PILI; Jishushe tu tuombe radhi Watanzania ambao kwa idadi kubwa ni wakulima na wafanyakazi na ambao tunaomba usiku na mchana kuona nchi yetu imekombolewa toka mikononi mwa CCM. Haimanishi ufanye mkutano wa hadhara lakini JF inatosha tu kutupa jibu nasi tutakurudisha kundini, maana kama nilivyo sema hapo juu; UKIKUBALIWA NA JAMIIFORUMS UMEKUBALIWA NA WATZ WOTE. Na kwa kinachoendelea ndani ya chama chako, ambacho umewahi sema huna mpango wa kukihama, onyesha ushirikiano na baada ya kuyamaliza huko ndo uje kwetu.
TATU; Baada ya hayo hapo juu kufanyika, tufichulie wote walioficha mpunga (fedha) huko Uswisi kama ulivyoanza vema na usikate tamaa. Na lazima hili lifanyike baada ya hayo hapo juu kwa sababu hili likitangulia bado halitakurudisha kwenye level yako ya awali. Hakika ukiyafuata haya na ukatuambia wezi tulionao nguoni mwetu tutakurudisha kwenye form fasta.
Ni mtazamo wangu wanajamvi.
Mkuu kuna mamilioni ambao sio member humu na wanamchukia zitto kichizi mfano thread inaweza kuwa na member 20 lakini guest 1000 sasa huoni hiyo ni Noma
Zitto inaelekea anawaendesha sana nyie wafuata upepo. Manake kila siku mnaweweseka tu.
Why him?, kwa vile Chadema is the only party he had ever known, kwanini hao wengine ndio wasiondoke kumsusia chama tuone kama kitamfia!. After all wengine wana vyama vyao mpka kadi zao zimewekwa kabatini kama kumbukumbu!.
P.
Ingekuwa umaarufu wake unatokana na kupigiwa vuvuzela, lisipopigwa ningekubali umaarufu wake ungeshuka, lakini umaarufu wa ZZK unatokana na ability!. Aombe msamaha kwa kosa gani, ajutie jambo gani?.
Ingekuwa jf ni wapiga kura, basi saa hizi Chadema ingekuwa Ikulu!. JF ina wanachama laki moja plus!. Hawa ndio Watanzania wote?.
ZZK bado ni maarufu vile vile tena umaarufu unazidishwa na hii Zitophobia kila siku thread 10 -10 za ZZK!.
P.
Slaa alishinda 'URAIS' JF akadondokea pua kwenye real ballot box!
Ingekuwa umaarufu wake unatokana na kupigiwa vuvuzela, lisipopigwa ningekubali umaarufu wake ungeshuka, lakini umaarufu wa ZZK unatokana na ability!. Aombe msamaha kwa kosa gani, ajutie jambo gani?.
Ingekuwa jf ni wapiga kura, basi saa hizi Chadema ingekuwa Ikulu!. JF ina wanachama laki moja plus!. Hawa ndio Watanzania wote?.
ZZK bado ni maarufu vile vile tena umaarufu unazidishwa na hii Zitophobia kila siku thread 10 -10 za ZZK!.
P.
Mkuu kuna
mamilioni ambao sio member humu na wanamchukia zitto kichizi mfano
thread inaweza kuwa na member 20 lakini guest 1000 sasa huoni hiyo ni
Noma
Ingekuwa umaarufu wake unatokana na kupigiwa vuvuzela, lisipopigwa ningekubali umaarufu wake ungeshuka, lakini umaarufu wa ZZK unatokana na ability!. Aombe msamaha kwa kosa gani, ajutie jambo gani?.
Ingekuwa jf ni wapiga kura, basi saa hizi Chadema ingekuwa Ikulu!. JF ina wanachama laki moja plus!. Hawa ndio Watanzania wote?.
ZZK bado ni maarufu vile vile tena umaarufu unazidishwa na hii Zitophobia kila siku thread 10 -10 za ZZK!.
P.
Hili nakubaliana nalo ndio maana nikaanza na ganda la mua la jana!.
P.