Nikikuita mchumia tumbo nitakuwa nakutusi ,si vyema kufanya hivyo. Jitafutie jina sahihi mwenyewe.
Wachambuzi wa siasa wanajua fika umaarufu wa Zitto umetokana na yeye kufukuzwa bungeni na Sitta alipokuwa spika, uma wa Watanzania ukafunguka macho kutokana na uonevu ule. Hapo ndipo Zitto alipopata umaarufu .
Suala la ability unalosema wewe ni nadharia zaidi,Zitto ni kigeugeu sana amepingana na mambo mengi sana kuhusu chama chake hadharani kwa maslahi binafsi. Mchambuzi gani makini asiyejua kwamba hoja ya fedha za uswiss Zitto alikuwa anapewa data na B. Membe .Alikuwa anatumika kwa maslahi ya Membe na kundi lake ili kwachafua kiina EL!
Navyojua watu kama Mnyika,Lissu,Nyerere(MP) ,Mdee na wengine wachache wanapata umaarufu kwa ability sio kwa kufukuzwa bungeni kama Zitto na kujiona yeye ni maarufu kuliko wananchi tunaom-support.
Zitto mara zote anajenga hoja kwa minajili ya kujinufaisha yeye akibeba kivuli cha maslahi ya umma. Alivyopiga kelel kuhusu madini ,kampunii za madini zilidivert misaada akapelekewa yeye jimboni kwake. Huu ni ukigoma na sio ability jipange upya mkuu
Pasco